Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Kituo kikubwa cha MTv base Africa leo limetoa wana hiphop 10 bora wa Tanzania waliofanya vizuri 2016. 1. Fid Q 2. Joh Makini 3. AY 4. MwanaFA 5. Roma 6. Mr. Blue 7. Nikki wa pili 8. G...
2 Reactions
86 Replies
11K Views
Mambo anayo yafanya diamond n kama mtu na degree zake.. Cz anajua kutumia udhaifu wa washndani wake ana jifunza kwa wapinzan wake bt haigii... OUR ICON [emoji109] [emoji109] [emoji109]
0 Reactions
6 Replies
781 Views
Kutoka WCB ni Diamond Platnumz akimshirikishwa Vyema Msafi Rich Mavoko katika wimbo Unaoitwa Kokoro, wimbo Huu upo HAPA.
0 Reactions
3 Replies
6K Views
habarini wadau, kwa wale wafuatuliaji wa vipindi ktk channel hiyo ningependa mnijuze vipindi vya mieleka (wrestling) huwa vinaoneshwa siku gani na masaa gani. Karibuni.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa Ubora wa Sauti, ni waimbaji Wawili tu wanaokidhi viwango hapa Bongo/Tanzania, nao ni Alikiba na Christian Bella. Changia.
3 Reactions
1 Replies
981 Views
Naomba mwenye mashairi ya wimbo wa taarabu manahodha wa mashua kwanini wakae nyuma tupige vigelegele tukishafika salama ni kinyume cha sheria kimwendo na usalama manahonda wa mashua kwann wakae...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Baada ya kuona team ali kiba ni wazee wa kulia lia leo ndo wakaamua watukomeshe kabisa hii imedhihirika baada ya post yao kuwataka team kiba wapige kelele kama kwel alikiba ni bestdressed east...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kiukweli nyimbo za hip hop za bongo zinazozungumzia mapenzi ndizo huwa na hisia za kweli ndani yake. Wabanapua huimbia kupata sifa tu Sikiliza nyimbo zifuatazo utapata hisia za kweli; 1...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wewe kama mdau wa Music unaionaje ngoma,,,,,, Kuidownload ingia hapa AUDIO: DOWNLOAD NEW HIT DIAMOND PLATINUM FT NEYO-I WANT TO MARY YOU,,,, AUDIO: DOWNLOAD NEW HIT DIAMOND PLATINUM FT NEYO-I...
0 Reactions
2 Replies
16K Views
Kitu kizuri kula na rafiki na ndugu zako. Wana JF ni ndugu zangu. Karibuni tuburudike sote na huu wimbo.
0 Reactions
5 Replies
983 Views
Kuna nyimbo moja ya singel nimetokea kuipenda ina itwa mikono juu mwendo wa mateka...lakin yule dogo anaye imba na maneno kwenye iyo nyimbo haviendan na umri wake...au nyimbo katungiwa?!!
1 Reactions
10 Replies
5K Views
3 Reactions
2 Replies
883 Views
Salam wakuu, Habari za weekend? Najalia wakuu mko poa. Juzi nilikua naangalia tv ghafla wimbo wa gospel ukapigwa aisee huyu dada wakuitwa Angel Benard ni mwimbaji hatari kanakwamba mwanzoni i...
4 Reactions
47 Replies
11K Views
Enzi hizo akina sister P , Raha P full kujibizana.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Post deleted by Author!
0 Reactions
2 Replies
990 Views
Mzuqa wanajamvi! Ni mwanadada Ellie Gouling wa uingereza na singo Yake love me like you do inayomtukuza shetani waziwazi kabisa. Ni wimbo ambao ulitoka desemba 2015 na kukonga nyoyo za watu wengi...
3 Reactions
95 Replies
12K Views
Salamu kwenu wapenda maendeleo! Nataka tushirikiane kimawazo wadau, Hivi huu wimbo umeleak ukiwa haujakamilika au ndiyo tayari umekamilika hapo? Kwa maoni yangu naona bado una dosari kubwa,na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…