Hisia za Kweli

Hisia za Kweli

Nelly Mtengwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2016
Posts
371
Reaction score
417
Kiukweli nyimbo za hip hop za bongo zinazozungumzia mapenzi ndizo huwa na hisia za kweli ndani yake. Wabanapua huimbia kupata sifa tu
Sikiliza nyimbo zifuatazo utapata hisia za kweli;

1. Trubadour George- Chacun Pour Soi (Diamond pia aliuimba)

2. Roho 7- Waite polisi

3. Nash MC-Mapendo

4. Joh Makini- Ulimwenngu wa wapendanao

NK.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom