Wanajamvi naomba kuuliza kwa wale wajuvi wa mambo ya miziki ya Pop, Hivi huo wimbo Michael Jackson aliuimbia wapi? Au alishirikiana na nani? Maana kuna maneno ya kiswahili yale "...Nakupenda pia...
Napenda sana utulivu hasa kipindi hiki cha mapumziko hapa nasikiliza kipindi cha easy sunday clouds radio huku naendelea na JF. Muwe na maandalizi mema ya kuelekea siku inayofuata ya 2018.
*TIARAEI:* Askofu Kakobe tunataka kujua utajiri wako uliupataje.
*Kakobe:* Kwa Yesu.
*TIARAEI:* Umesema una hela nyingi sana.
*Kakobe:* Ndiyo
*TIARAEI:* Umezihifadhi benki gani?
*Kakobe:* Kwa...
KOMBORA KIOTANI-33
BONIFACE BIRAGE
Balozi alikwisha kaata roho!Hangaiko la kutetea uhai wake lilikwisha nguvu na sasa aliona na kuhisi wepesi ulioambatana na usingizi mzito sana vikimjia...
Naanza fasta bila kukuchosha
Toka ananza kuimba kuna muda nikahis anaimba utani utani tu manake nyimbo kadhaa ni kama za watoto za kuchekeshana mfano hiyo zezeta Awaaaaaaaaaaaaap kwangu sijaona...
Mimi ni mpenzi wa comic movies specially zinazotengenezwa na hawa jamaa wa Marvel studios so nitajaribu waletea all release dates za comic heroes movies toka kwa hawa jamaa. Kwa kuanza naanza na...
Habar wana jukwaa
leo ninahitaj kwa yule mwenye ufaham juu ya masuala ya kucheat kwenye line ili uweze kutumia internet bila kulipia popote atuwekee hiyo taaluma.
habarii wakuu i real appreciate the analysis coming from you guys especially very experienced producers hizi samples niupande wa verses bado sijaongeza intro,outro ,chorus and hook or bridge...
Wana jamvi habari za sikukuu, nimekosa mdaa WA kwenda movie kuangalia movie ya jumanji.. Naomba aliekua nayo anitumie link ya kudowload... Or watch online... Asanteni week end njema
Mabibi na mabwana ndugu rayvanny leo ametuletea wimbo wake Mpya ambao ndani yake yupo Hussein Jumbe wimbo ni huu hapa chini ni audio pamoja na video ili kuupata wimbo huu Utabonyeza Download hapa...
Video Mpya ya Kwake ENOCK BELLA , Wimbo Unaitwa "NITAZOEA "
DOWNLOAD HAPA http://www.mtikiso.com/2017/12/video-music-enock-bella-nitazoea.html
BURUDANI ZOTE UTAZIPATA KWENYE BLOG YETU PENDWA...
Abstract
Zidhani kama kuna pingamizi kwamba wasanii wa sasa wanamafanikio kuzidi mda wowote. Lakini mafanikio haya, yamepitia mgongoni wa mashabiki zao, wengi abao ni watu weusi, tena wa maisha ya...
Hizi dedication zingine ni ngumu sana kuzielewa kwa haraka, Nimerudi usiku home nimemkuta shemeji enu anajiandaa kulala basi huku na huku akaamua kuweka wimbo wa Kibamia wa Rostam, kilichontisha...
sarakasi ubinuliwe harakati zirudiwe/ hapa unawekwa kati hata uwe Araphat ngumi jiwe/
Nachinja bila mundu wala kisu/ nadinda mbele ya makinda wananiita Tundu Lissu
Alazwe pema ghadafi/ wema...