Huu ni wimbo mpya wa Papii kocha?

Huu ni wimbo mpya wa Papii kocha?

kiraza

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2016
Posts
403
Reaction score
581
Habari wapendwa nahitaji kujua kama Papii Kocha katoa wimbo huu alipotoka Jela au kabla hajaingia?
 
Mmmmh mbona beat kama ninalikumbuka LA zamani!? Au labda ametoa remix
 
Habari wapendwa nahitaji kujua kama Papii Kocha katoa wimbo huu alipotoka Jela au kabla hajaingia?

Hapana alikuwa bado hajaenda jela dah mkuu nipe basi link za hizo nyimbomaana nimeztafta bila mafanikio
 
Mwenye Wimbo wa Uchona, wa Deo Mwanambilimbi, Maisha ni kuona mbele wa DDC mlimani park Wimbo wa zamani zaidi Mkulukumbwi. Naomba aweke hapa.
 
Back
Top Bottom