faru john junior
JF-Expert Member
- Dec 26, 2016
- 1,596
- 1,725
Kama mada inavyojieleza hapo juu ninauhakika 90% ya watanzania hasa wakristo Leo wanakula viporo yaani vyakula vilivyobaki Jana. Mapovu ruksa karibuni
Zimetoka NBS hahahah90% ? Haya mambo ya takwimu si yashakatazwa na mkuu?
Not allLeftovers tastes Beta.
Not all
NBS, I'm watching out [emoji3]Kama mada inavyojieleza hapo juu ninauhakika 90% ya watanzania hasa wakristo Leo wanakula viporo yaani vyakula vilivyobaki Jana. Mapovu ruksa karibuni
Wasomaji watakuja tu wew subriUmekosea jukwaa mkuu