habari za leo ,
filamu ya leo inahadithia maisha ya mama anaeteseka sana, anavyo kutana na familia yenye uwezo yakumsaidia anagundua na ku fufunua siri kubwa ya hio familia.
Huu muziki umekuja kwa kasi sana na kujizolea umaarufu Mkubwa kwenye media na baadhi ya wadau haswa vijana lakini huu mziki naliona kaburi lake 2018 kwa sababu zifuatazo
1. Wadau wakubwa wa muziki...
Moja ya album bora kabisa za Hip Hop mbaka sasa kwa mwaka 2018. Production on point & carefully structured. Cole na flow ya hatari ndani ya mzigo huu mpya huku akiwa Na maudhui ya hatari ikiwa...
Muziki wa Bongofleva tangu uanze miaka ya 90 mwishoni umefanikiwa kuibua majina mengi makubwa, lakini tofauti na ilivyo sasa kipindi huu muziki unaanza ilikuwa ili utoboe ni lazima uwe na album...
Angekuwepo rafiki nisingewaza, rafiki kipenzi ninayempenda x2 hayupo tena duniani swahiba,nliyempenda toka kumoyo swahiba....
Alikuwa ni kijana mwenzetu Jebby akishirikiana na afande sele miaka...
As a being
I've always wished
To be a majestic king
One so strict
If you mess, like a disturbed bee
You end up with a sting.
I've always envied David,
It's a mystery how he managed
To kill...
MARY MARIAM (01)
BEKA MFAUME
Alizaliwa nje ya ndoa. Baba yake hakuwahi kumwona ingawa aliamini yuko hai. Alisikia tu akiambiwa baba yake ni Mwarabu. Aliamini hivyo kwa sababu hata damu yake...
habari wana jamvi, kama kichwa kilivojieleza hapo.. napenda kujua jina la wimbo mmoja ulinivutia sana nikiwa mdogo ila nimesahau jina lake. moja ya mistari yake ilikua ikiimbwa hivi
"pilipili ya...
Good news tuliyokua tukiisubiri gunners hatimae imekua mzee kinganganizi babu wenger aamua kustep down at the end of season. Hatuna cha kukumbuka zaidi ya stress zako
Arsene Wenger to leave...
Wadau na wapenzi wa movies especially Hollywood movies nimeona ni vizuri nikashare na nyie my 25
sio mbaya nawe ukacomment au ukamention za kwako, vigezo nilivyotumia kupata hii top 25 list ni...
Sehemu ya kwanza °01°
Asubuhi na mapema foru anapoamka na kufungua macho yake anaangaza huku na kule anagundua sehemu alipokua amelala si mahala pake na anapoinuka anashindwa kusimama na...
Wakati natoka nilimuona Mama yangu akiweka kitu chini ya kiti cha gari, nilishangaa kidogo kwani sikujua sababu yake. Hakuniona, nilisimama kwa muda kumuangalia, alifunga mlango wa gari...
Hello guys
I believe hiz station zikiwa zinaanza mwanzishaji alikuwa na ndoto ya kuteka soko la afrika mashariki kwenye swala la matangazo ya kibiashara kwenye tv , which means kampuni za uganda...
Huu wimbo inasemekana ulimletea sana matatizo mtunzi wake mzee king kikii kutoka kwa utawala wa dikteta mobutu ambao uliuchukulia wimbo huu kama dongo kwa utawala huu kutokana na kuwa kama...
Movie ya Black panther. Imetengenzwa kwa thamani ya $200m. Sawa na Billion 440 za kitanzania.
Mpaka leo ina faida tuu ya 2.2245 trillioni. Tangu imetoka. Ambayo ni makusanyo ya kodi kwa Tanzania...