Trilioni 1.5 na muvi ya black panther

Trilioni 1.5 na muvi ya black panther

Lee Swagger

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2018
Posts
1,070
Reaction score
1,816
Movie ya Black panther. Imetengenzwa kwa thamani ya $200m. Sawa na Billion 440 za kitanzania.

Mpaka leo ina faida tuu ya 2.2245 trillioni. Tangu imetoka. Ambayo ni makusanyo ya kodi kwa Tanzania kwa miezi miwili kutoka kila kona ya nnchi.

Katika zile Trilioni 1.5 zilizopotea. Tungedhamini hii muvi na kubaki na change ya Trillion 1.01.

Kwa Wale wapenzi wa muvi wanao fahamu series ya "Strike Back" iliyoigizwa sehemu mbali mbali Afrika ikiwemo Kenya.

Episode 1= 6.5/ billion

Hvyo tungeweza kudhamini Complete Season ya Episode 10. Kwa 65 billion za kitanzania.

Tungeweza kudhamini Season 5. Ambazo zingetengenezwa Hollywood chini ya Director wababe sana.

Watalii na wawekezaji wangemwagika Tanzania. Na tungepiga faida ya kufa mtu.

Na tungebaki na Chenji.

Lakini ghafla hela nyingi hivi haijulikani aliechukua hili linashangaza mnoo.....

Tusubiri
Muda ndio kipimo.

BOB LEE SWAGGER.
IMG-20180418-WA0194.jpg
 
BOB LEE SWAGGER. View attachment 749084
SHILINGI TRILIN 1.5 ZA KITANZANIA

1. Kama una kasi ya kuhesabu shilingi milioni moja kwa dakika moja. Maana yake Shilingi trilioni 1.5 utazihesabu kwa dakika 1,500,000, sawa na masaa 25,000, sawa na siku 1042, sawa na miaka 2 na miezi kumi.

2. Noti moja ya Tsh. 10000 in urefu wa Sentimita 15 na upana wa Sentimita 7.5. Ukitafuta eneo la mstatili wake ni sawa na Sentimita za eneo (mraba) 112.5 au (112Cm²).
Idadi ya noti za elfu 10 kwenye Tsh. Trilioni 1.5 ni noti 150,000,000. Ukizidisha na ile 112.5 ni sawa na eneo la Sentimita za mraba 16,875,000,000 au Mita za mraba 1,687,500. (1,687,500m²)
Uwanja mmoja wa mpira wa miguu wenye urefu wa mita 100 na upana wa mita 75 una eneo la 7500m²
Chukua (1,687,500 ÷ 7500) = 225
Maana yake, Tsh. Trilioni 1.5 unaweza kuzipanga zikafunika eneo sawa na viwanja 225 vya mpira wa miguu.

3. Kwa urefu wa Sentimita 15, kwa idadi ya hizo noti 150,000,000 ni sawa na umbali wa sentimita 2,250,000,000 sawa na kilometa 22,500.
Jumla ya umbali wa mipaka yote ya Tanzania bara pamoja na ufukwe wa bahari kutoka Tanga hadi Mtwara ni Km 4826.
Kwa hiyo ukizipanga kwa urefu pesa hizi, zinaweza kufanya mizunguko minne katika mipaka yote ya Tanzania bara (Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, DRC, Zambia, Malawi, Msumbiji na ufukwe wa bahari ya hindi kutoka Tanga hadi Mtwara) na bado zitabaki za kutosha umbali wa Km 3196.
Hizo zinazobaki unaweza kuzipanga mistari miwili kutoka ncha ya mbali kabisa ya kaskazini hadi ncha ya mbali ya kusini mwa Tanzania bara (Km 1223 X 2 = Km2446) Na bado zitabaki za Km 750. Ambazo zitapangika kutoka DSM had Tanga mara tatu na kubaki za Km 162. Hizo baki nazo mwenyewe.

4. Ikiwa Noti moja ya elfu 10 ina uzito wa gram 1, maana yake kwenye Trilioni 1.5 (noti milioni 150) zina uzito wa gram milioni 150 (150,000,000gm) au kilogram 150,000 sawa na uzito wa tani 150. Reli ya Standard Gauge inayojengwa inaweza kuhimili mzigo wa uzito wa Tani 35.

5. Zinatosha kujenga kilometa 500 za Reli ya STG kwa viwango vya ubora na gharama za sasa (kwa mfano wa hii iliyoanza kujengwa)

6. Ukipewa pesa hiyo na kuamua kutumia Tsh. Mil 10 kila siku. Zitaisha baada ya miaka 41.
[(1.5x10¹²) ÷ (10x10e8)]/365¼ = 41

7. Zinatosha kugawa TSh. 200 kwa kila Binadamu duniani, TSh 1000 kwa kila Mchina na TSh. 30,000 kwa kila Mtanzania.

8. Ukiweza kuzigawa pesa hizo 'kipedejee' kwa kuwarushia watu noti moja moja kila baada ya sekunde moja, bila kupumzika, itakubidi utumie miaka minne na miezi 9 ili ugawe zote.

9. Tsh. Trilioni 1.5 ni utajiri karibu sawa na utajiri wa Bilionea Mohammed Dewji. Ni zaidi ya fedha zilizotumika kwenye uwekezaji wa kiwanda cha Cement cha Dangote (1.3trilion). Ni nusu ya Utajiri wa Rais wa Marekani, Bilionea Donald Trump.

10. Pesa hiyo ni mara 25 ya pesa waliotumia Marekani katika kushambulia miji ya Homs na Damascus nchini Syria tarehe 14 Aprili 2018. Marekani walitumia Nyambizi inayotumia umeme wa nyuklia, ndege ya kijeshi aina ya B-1 bomber na meli moja ya kivita huku bajeti ikiwa dola Mil 26, sawa na Tshs bilion 60. Wamarekani wameandamana nchini kwao kupinga matumizi mabaya a ya kodi zao. Kwa hizi pesa zetu zisizoonekana wangeweza kufanya mashambulizi mengine 24 kama hayo.
 
jiwe atakua anajua zzilipo,ila hata kama ni kutaka utajiri wa haraka si kwa speed hii aliyokuja nayo inatisha kwa kweli,
 
Namba sita kiboko
 
Afu unakuta kuna wajanja wawili wanazitafuna taratiiiiiiiiiiibu
 
mkuu nimekukubali kwa uchambuzi
 
Njooni Niwagawie, Nina kazi ya Kugawa hapa Mfululizo kwa Mika minne na Miezi nane Bila Kupumzika
 
Mkuu kwanza hongera kwa uchambuzi wako, nimefikiria sana kuhusu wingi wa 1.5 trillion na hasa kweye kuzihesabu hapo nikajiuliz TRA wanawezaje kuhesabu hela hizi ndani ya mwezi? Mfano wanapokusanya 1.2 trillion ( rejea point yako juu ya muda /speed ya kuzihesabu.)
Pili kama pesa hizi tu 1.5 trillion ni tani hizo unazozisema, je inawezekana pale BOT kukatunzwa physically kiasi hicho cha pesa au zaidi? Kama ndiyo hiyo shelf ya kutunzia hizo pesa ina ukubwa gani ( rejea viwanja vya mpira 225 kwa trillion 1.5 tu.) Mkuu naomba mwongozo
 
Hizi pesa hukusanywa na kutunzwa electronically, sio physically, hivyo kama serikali iyampatia CAG access ya systems zao na kupitia transactions zote ni lazima CAG atagundua zilipokwenda, tatizo wanaficha.
 
Hizi pesa hukusanywa na kutunzwa electronically, sio physically, hivyo kama serikali iyampatia CSG access ya systems zao na kupitia transaction zote na lazima CAG atagundua zilipokwenda, tatizo wanaficha.
Mkuu samahani, TRA wao anakusanya cash na kwa mwezi huwa wanakusanya hadi 1.2 huko, sasa zile cash wanazihesabuje kwa wingi huo? Halafu wanazipeleka wapi kama BOT wao hutunza pesa electronically ?
 
SHILINGI TRILIN 1.5 ZA KITANZANIA

1. Kama una kasi ya kuhesabu shilingi milioni moja kwa dakika moja. Maana yake Shilingi trilioni 1.5 utazihesabu kwa dakika 1,500,000, sawa na masaa 25,000, sawa na siku 1042, sawa na miaka 2 na miezi kumi.

2. Noti moja ya Tsh. 10000 in urefu wa Sentimita 15 na upana wa Sentimita 7.5. Ukitafuta eneo la mstatili wake ni sawa na Sentimita za eneo (mraba) 112.5 au (112Cm²).
Idadi ya noti za elfu 10 kwenye Tsh. Trilioni 1.5 ni noti 150,000,000. Ukizidisha na ile 112.5 ni sawa na eneo la Sentimita za mraba 16,875,000,000 au Mita za mraba 1,687,500. (1,687,500m²)
Uwanja mmoja wa mpira wa miguu wenye urefu wa mita 100 na upana wa mita 75 una eneo la 7500m²
Chukua (1,687,500 ÷ 7500) = 225
Maana yake, Tsh. Trilioni 1.5 unaweza kuzipanga zikafunika eneo sawa na viwanja 225 vya mpira wa miguu.

3. Kwa urefu wa Sentimita 15, kwa idadi ya hizo noti 150,000,000 ni sawa na umbali wa sentimita 2,250,000,000 sawa na kilometa 22,500.
Jumla ya umbali wa mipaka yote ya Tanzania bara pamoja na ufukwe wa bahari kutoka Tanga hadi Mtwara ni Km 4826.
Kwa hiyo ukizipanga kwa urefu pesa hizi, zinaweza kufanya mizunguko minne katika mipaka yote ya Tanzania bara (Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, DRC, Zambia, Malawi, Msumbiji na ufukwe wa bahari ya hindi kutoka Tanga hadi Mtwara) na bado zitabaki za kutosha umbali wa Km 3196.
Hizo zinazobaki unaweza kuzipanga mistari miwili kutoka ncha ya mbali kabisa ya kaskazini hadi ncha ya mbali ya kusini mwa Tanzania bara (Km 1223 X 2 = Km2446) Na bado zitabaki za Km 750. Ambazo zitapangika kutoka DSM had Tanga mara tatu na kubaki za Km 162. Hizo baki nazo mwenyewe.

4. Ikiwa Noti moja ya elfu 10 ina uzito wa gram 1, maana yake kwenye Trilioni 1.5 (noti milioni 150) zina uzito wa gram milioni 150 (150,000,000gm) au kilogram 150,000 sawa na uzito wa tani 150. Reli ya Standard Gauge inayojengwa inaweza kuhimili mzigo wa uzito wa Tani 35.

5. Zinatosha kujenga kilometa 500 za Reli ya STG kwa viwango vya ubora na gharama za sasa (kwa mfano wa hii iliyoanza kujengwa)

6. Ukipewa pesa hiyo na kuamua kutumia Tsh. Mil 10 kila siku. Zitaisha baada ya miaka 41.
[(1.5x10¹²) ÷ (10x10e8)]/365¼ = 41

7. Zinatosha kugawa TSh. 200 kwa kila Binadamu duniani, TSh 1000 kwa kila Mchina na TSh. 30,000 kwa kila Mtanzania.

8. Ukiweza kuzigawa pesa hizo 'kipedejee' kwa kuwarushia watu noti moja moja kila baada ya sekunde moja, bila kupumzika, itakubidi utumie miaka minne na miezi 9 ili ugawe zote.

9. Tsh. Trilioni 1.5 ni utajiri karibu sawa na utajiri wa Bilionea Mohammed Dewji. Ni zaidi ya fedha zilizotumika kwenye uwekezaji wa kiwanda cha Cement cha Dangote (1.3trilion). Ni nusu ya Utajiri wa Rais wa Marekani, Bilionea Donald Trump.

10. Pesa hiyo ni mara 25 ya pesa waliotumia Marekani katika kushambulia miji ya Homs na Damascus nchini Syria tarehe 14 Aprili 2018. Marekani walitumia Nyambizi inayotumia umeme wa nyuklia, ndege ya kijeshi aina ya B-1 bomber na meli moja ya kivita huku bajeti ikiwa dola Mil 26, sawa na Tshs bilion 60. Wamarekani wameandamana nchini kwao kupinga matumizi mabaya a ya kodi zao. Kwa hizi pesa zetu zisizoonekana wangeweza kufanya mashambulizi mengine 24 kama hayo.

Haka kauchambuzi tafadhali kalete kwa mfumo wa attachment/ PDF ili tusambaze upendo. Mimi kiazi wa teknohama nimeshindwa kukakopi. I hope hizi statistics ni kwa mujibu wa NBS, kwa hiyo sitashitakiwa!!! Aaaaah.
 
Mkuu samahani, TRA wao anakusanya cash na kwa mwezi huwa wanakusanya hadi 1.2 huko, sasa zile cash wanazihesabuje kwa wingi huo? Halafu wanazipeleka wapi kama BOT wao hutunza pesa electronically ?

Umeshawahi kupeleka cash TRA?
 
Mkuu samahani, TRA wao anakusanya cash na kwa mwezi huwa wanakusanya hadi 1.2 huko, sasa zile cash wanazihesabuje kwa wingi huo? Halafu wanazipeleka wapi kama BOT wao hutunza pesa electronically ?
Pesa za TRA hukusanywa cash / electronically kupitia mabenki mbalimbali, na hata zinapopelekwa hazina ni wanahamisha kwa electonic transfer
 
SHILINGI TRILIN 1.5 ZA KITANZANIA

1. Kama una kasi ya kuhesabu shilingi milioni moja kwa dakika moja. Maana yake Shilingi trilioni 1.5 utazihesabu kwa dakika 1,500,000, sawa na masaa 25,000, sawa na siku 1042, sawa na miaka 2 na miezi kumi.

2. Noti moja ya Tsh. 10000 in urefu wa Sentimita 15 na upana wa Sentimita 7.5. Ukitafuta eneo la mstatili wake ni sawa na Sentimita za eneo (mraba) 112.5 au (112Cm²).
Idadi ya noti za elfu 10 kwenye Tsh. Trilioni 1.5 ni noti 150,000,000. Ukizidisha na ile 112.5 ni sawa na eneo la Sentimita za mraba 16,875,000,000 au Mita za mraba 1,687,500. (1,687,500m²)
Uwanja mmoja wa mpira wa miguu wenye urefu wa mita 100 na upana wa mita 75 una eneo la 7500m²
Chukua (1,687,500 ÷ 7500) = 225
Maana yake, Tsh. Trilioni 1.5 unaweza kuzipanga zikafunika eneo sawa na viwanja 225 vya mpira wa miguu.

3. Kwa urefu wa Sentimita 15, kwa idadi ya hizo noti 150,000,000 ni sawa na umbali wa sentimita 2,250,000,000 sawa na kilometa 22,500.
Jumla ya umbali wa mipaka yote ya Tanzania bara pamoja na ufukwe wa bahari kutoka Tanga hadi Mtwara ni Km 4826.
Kwa hiyo ukizipanga kwa urefu pesa hizi, zinaweza kufanya mizunguko minne katika mipaka yote ya Tanzania bara (Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, DRC, Zambia, Malawi, Msumbiji na ufukwe wa bahari ya hindi kutoka Tanga hadi Mtwara) na bado zitabaki za kutosha umbali wa Km 3196.
Hizo zinazobaki unaweza kuzipanga mistari miwili kutoka ncha ya mbali kabisa ya kaskazini hadi ncha ya mbali ya kusini mwa Tanzania bara (Km 1223 X 2 = Km2446) Na bado zitabaki za Km 750. Ambazo zitapangika kutoka DSM had Tanga mara tatu na kubaki za Km 162. Hizo baki nazo mwenyewe.

4. Ikiwa Noti moja ya elfu 10 ina uzito wa gram 1, maana yake kwenye Trilioni 1.5 (noti milioni 150) zina uzito wa gram milioni 150 (150,000,000gm) au kilogram 150,000 sawa na uzito wa tani 150. Reli ya Standard Gauge inayojengwa inaweza kuhimili mzigo wa uzito wa Tani 35.

5. Zinatosha kujenga kilometa 500 za Reli ya STG kwa viwango vya ubora na gharama za sasa (kwa mfano wa hii iliyoanza kujengwa)

6. Ukipewa pesa hiyo na kuamua kutumia Tsh. Mil 10 kila siku. Zitaisha baada ya miaka 41.
[(1.5x10¹²) ÷ (10x10e8)]/365¼ = 41

7. Zinatosha kugawa TSh. 200 kwa kila Binadamu duniani, TSh 1000 kwa kila Mchina na TSh. 30,000 kwa kila Mtanzania.

8. Ukiweza kuzigawa pesa hizo 'kipedejee' kwa kuwarushia watu noti moja moja kila baada ya sekunde moja, bila kupumzika, itakubidi utumie miaka minne na miezi 9 ili ugawe zote.

9. Tsh. Trilioni 1.5 ni utajiri karibu sawa na utajiri wa Bilionea Mohammed Dewji. Ni zaidi ya fedha zilizotumika kwenye uwekezaji wa kiwanda cha Cement cha Dangote (1.3trilion). Ni nusu ya Utajiri wa Rais wa Marekani, Bilionea Donald Trump.

10. Pesa hiyo ni mara 25 ya pesa waliotumia Marekani katika kushambulia miji ya Homs na Damascus nchini Syria tarehe 14 Aprili 2018. Marekani walitumia Nyambizi inayotumia umeme wa nyuklia, ndege ya kijeshi aina ya B-1 bomber na meli moja ya kivita huku bajeti ikiwa dola Mil 26, sawa na Tshs bilion 60. Wamarekani wameandamana nchini kwao kupinga matumizi mabaya a ya kodi zao. Kwa hizi pesa zetu zisizoonekana wangeweza kufanya mashambulizi mengine 24 kama hayo.

kwa hesabu hizi ni ujinga kuendelea kuamini kuna mtu kaiba pesa zote hizi.
 
Back
Top Bottom