Wacha waisome namba eee?

Wacha waisome namba eee?

glass amo

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2017
Posts
3,837
Reaction score
4,654
chorus... *

tumeipenda wenyeweee
na wavimbe wapasukeeee
tuchaguane tu milele....

wacha waisome nambaaa eeeeh?

chama chetu mbele kwa mbeleeeee...


waaacheni waaandamaneeeeer
hapa kwetu mbelee kwa mbeleeee


vesr 1
hatuji gambi hatujivuniii

chama chetu mbele kwa mbele
hatuji gambi hatuji vuniiii
hiki chetu mbele kwa mbelee

waaacheni wa andamaneeeee?

hapa kwetu mbele kwa mbelee....


rudia chorus Mara 2.


huuu ndio ulikua wimbo wetu kwenye bendi yetu wazalendoo

Kama unaukumbuka tuungane kuuuimbaa kwa pamoja
karibuni.....
 
wacha twende mbele kwa mbele hiyooo
 
Kitu cha kwanza alichoanza nacho ndani ya ccm ni kubadili katiba ili na mwaka 2020 asiwe na mpinzani ndani ya ccm, wakina bashe na wenzake walipopinga wakaonjeshwa shubiri hawakurudia tena

hahahaha.
bado mbona muvi haija isha.
twende mbele kwa mbele huko ndo kutamu zaid
 
hahahaha.
bado mbona muvi haija isha.
twende mbele kwa mbele huko ndo kutamu zaid
Eti mafisadi wote nitalala nao mbele, ishii hivi huyu ni mtanzania kweli?, anajua kiswahili kweli?, ndiyo maana wengine wanasema ni mrundi, wengine wanasema ni mnyarwanda
 
typo na kasi ya ajabu kuuuuhama umasikini
tz full amendeleooo
 
Eti mafisadi wote nitalala nao mbele, ishii hivi huyu ni mtanzania kweli?, anajua kiswahili kweli?, ndiyo maana wengine wanasema ni mrundi, wengine wanasema ni mnyarwanda
hahahahha
sasa unafikiri kwanini watu wana mdiss wakat Hana makosa jmna.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom