Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Wale wahenga mnaukumbuka huu wimbo ??? Ulikuwa kwenye ile filamu ya NERIA, alikuwa anaimbiwa baada ya kutendwa na Finehasi. [Verse 1: Oliver Mtukudzi] Neria, Neria hoo Usaore moyo ka Neria...
5 Reactions
20 Replies
5K Views
Mwaka 2005 nilitoa album ya mziki WA bongofleva iliyokuwa inaitwa "USIUNYANYAPAE MOYO WANGU" na kufanya uzinduzi pale Traventine hotel, Mimi Masqo(Deogratius Kisandu), H.mbizo na Saida Kalori...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Mr.Bean ni mchekeshaji maarufu na mwenye movie nyingi sana ila binafsi muvi yake ya Mr.Bean Holiday na zile za John English zote 3 ndizo zilizonikosha zaidi japo zipo muvi ambazo sikuzielewa...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari za wiki nyingine natumai mlifurahia wikiendi. Jumatatu hii hapa nakuletesa movie mpya ya "Muhogo Mchungu" na "King (Mzee) Majuto" ndani ya movie yao kali. "MTANDAO" Part 1 ...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jackson benty. Ninyanyue
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wadau naomba mwenye huo wimbo hapo juu aunipe au anipe link ya kuudaunlodi. Nimeshatafuta sana bila mafanikio. Baadhi ya lyrics zake ni .".....kulishwa sahani moja wewe na mume mwenzio, Usikione...
1 Reactions
17 Replies
12K Views
‎Open this link to join my WhatsApp Group: https://chat.whatsapp.com/3eotMWGhurL8mLX8VHOLjd
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hii ngoma kali sana kwa upande wa wadada wanaofanya hip hop na trap imakaa poa sana bit yenyewe nzito naona anafanya poa sana huyu mdada. Katika hii ngoma yupo na jamaa anaitwa Emtee naona...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mzalendo aachia ngoma nyingine "Changamoto" baada ya kimya cha muda mrefu. Hii ni mara ya kwanza toka alipoachia ngoma kali ya "Nasogea Goligota". Ndani humo amewapiga vijembe BAD, Mh. Wa mambo...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari wana JF, Kwa wote waliopitia katika hali za kukata tamaa kutokana kwa jambo moja au jingine napenda kuwaambia lingalipo tumaini. Hebu msikilize hapa Gloria Muliro akikutia katika wimbo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mwanariadha aliyewahi kutikisa katika mbio fupi ameanza kuitumikia timu yake mpya ya mpira wa miguu. Timu hiyo ya CCM imekuwa na matokeo mazuri ilipokutana na CCS. Bolt aliingia kipindi cha pili...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Mwaka 1983 hautasahaulika kwa mashabiki wengi wa muziki hapa Tanzania na duniani kote baada ya mwanamuziki mkongwe Lionel Richie aliyejiengua kutoka kundi la "The Commodores" kuachia wimbo wake wa...
9 Reactions
61 Replies
12K Views
NAOMBENI USHAURI KWA HII APP NINI KIONGEZWE NA NINI KIPUNGUZWE BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD https://play.google.com/store/apps/details?id=com.mtikiso
0 Reactions
2 Replies
994 Views
Nini kimewakuta Man U weekend hii?? Hakuna asieona kama leo Man u walikutana na Beki bora iliowasumbua sana mashetani hao wekundu kwenye uwanja wa Amex stadium. Kuna mambo kadhaa yakuojili leo...
0 Reactions
1 Replies
677 Views
SONG MR-PRESIDENT ARTIST R.O.M.A PRODUCER J-RIDER + YUDDI STUDIO TONGWE RECORDS romabraq@yahoo.com INTRO By…..Mwl. Julius Kambarage Nyerere Ikulu ni mahali patakatifu, ikulu ni mahala...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Katika muziki wa bongo fleva, mimi hupenda kusikiliza Alikiba . Nyimbo zake huwa zinamafunzo na zinaonya jamii kwa jumla . Kwa maoni yangu hizi ndio nyimbo zake bora Lofa Mwana Mapenzi yanarun...
3 Reactions
13 Replies
4K Views
Wadau kama wewe ni mfuatiliaji wa kazi za wasanii naomba uje tujadili. Hivi ule wimbo wa sista fey wa kaja mwenyewe ni wa kuelimisha au kuburudisha. Naombeni maoni yenu juu ya wasanii wa bongo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Karibuni katika channel ya uimbaji muziki hapa tutashirikiana kupeana nyimbo nzuri kutoka kwa makundi,ideas mbinu za kukuza uimbaji na muziki wa kikristo/injili/choirs/groups n.k ni imani yetu...
0 Reactions
1 Replies
506 Views
Back
Top Bottom