The Hitman. Bodyguard. Samuel anapendeza akiact kama adui au Kamanda mkuu wa Jeshi. Washington naona anafiti kwenye character yoyote ile.kila mmoja ana ladha yake hapo. danzel yeye ni mzee wa kazi mkono mkono tu ngumi jiwe
huku mwenzie anachanganya na comedy kidogo kuna muvi ya mwisho kuitazama ya huyo samwel nadhan inahusiana na mambo ya 'ubodigadi' ilinivutia
Inaitwa JOHN Q,bonge la movie aisee.wote wapo njema ila kuna muvi denzel kacheza ana mtoto wake anamatatizo ya moyo aiseeh mimi kama baba nilijifunza kuhakikisha napigania ndoto ya mwanangu.
John Qwote wapo njema ila kuna muvi denzel kacheza ana mtoto wake anamatatizo ya moyo aiseeh mimi kama baba nilijifunza kuhakikisha napigania ndoto ya mwanangu.
Kuna watu mna matatizoJamani naomba kungwa kwenye groups za WhatsApp mbalimabli 0719656063