Mchezo wa kistratejia zaidi,fungua uone scenario

bukoba boy

JF-Expert Member
Jan 15, 2015
5,371
3,946
Hapo nimembana sana black,nikapata over confidence,akajipanga upya akashinda.

Wadau mnaongeleaje huu mchezo?

IMG_20180908_202324.jpg
IMG_20180908_202308.jpg
 
JF nzima hakuna watu wa chess?great thinkers mnaniangusha.
 
Mimi najua draft
Tofauti na draft ambapo mshindi hupatikana ukila kete zote za mpinzani wako.Kama hiyo picha ya 2 imeandikwa "checkmate AI wins", chess huisha pale kete ya " king" inapokamatwa.

Hili game ni vita kati ya falme mbili ambazo zina askari 6 pamoja na queen ambae ndio askari mwenye nguvu kuliko wote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom