Kwa mda nilikua siiangalii tena bongo movie lakini filamu ya FATUMA, TUNU na BAHASHA zimenirudisha rasmi,
Uhalisia asilimia 100%,waigizaji wanajielewa wamezitendea haki nafasi zao yani movie ile...
Salaam wadau,
Kwa wale wadau wa mazoezi naomba kufahamu Kama kuna mtu anajua Gym (Fitness Center) iliyopo maeneo ya Kibamba Dsm, kwa yeyote mwenye kujua ilipo naomba msaada wa maelekezo jinsi ya...
Mtanzania Hassan Mwakinyo mwenye umri wa miaka 23 usiku wa kuamkia tarehe 9/9/2018 amefanikiwa kumpiga Bondia Mwingereza Sam Eggington katika round ya pili ya pambano hilo liliofanyika katika...
Husika na mada hapo juu
Hawa wenzetu wa SA wamekuwa mstari wa mbele sana kwenye mziki wa gospel. Wanatumia sana kizulu katika kusifu na kuabudu. Ajabu ya nyimbo zao unaweza kuzipenda na ukajazwa...
Ivi ni nyimbo gani ukiiskiliza hua inakupa hisia au unakumbuka Kitu flani naku wish ufanye Kitu Fulani kama dejavu ya J.cole.Mimi nikiskiliza nyimbo ya offset growth nikiwa bar hua napata hisia...
Baada ya jana Cardi B kuchezea kichapo inaonekana bifu kati ya wawili hawa sio la kuisha leo wala kesho.
Nicky Minaj alidumu kwenye game kwa muda mrefu bila upinzani sasa kampata mpinzani wa...
Wasanii.wanaounda kundi la ROSTAM, Roma Mkatoliki pamoja na Stamina wameachia song lao jipya liitwalo Parapanda, ni habari ya mjini kwasasa itafute uthibitishe.
NB
Nimeshindwa kui-upload kwakuwa...
Wachache sana wataelewa hiyo bridge ya nyama laini kama mapupu na ile supu pale kati ajajajajajajajajaja
Intro]
Hhhhmm
Oooh Ooooh Oh!
Iyooo Lizer
Hhhmm
[Verse 1]
Nyama zetu za ulimi
Zikikutana...
SAFARI 5 DAYS /4 NIGHT NGORONGORO AND SERENGETI
Day 1
(Pick up from Kilimanjaro airport to Arusha to Lake Manyara
Early in the morning we will leave Arusha city, through lake Manyara...
Hello everybody. This is 99 best edm songs. If you like edm then this is for you.
Axwell /\ Ingrosso - "I Love You (feat. Kid Ink)"
deadmau5 and Kaskade - "I Remember"
SOPHIE - "Hard"
David...
Nawasalimuni mabest zangu na mie!!
Nimewamisijeeeee!! Waoooo......
Haya sasa, Leo mimekuja na langu la moyoni,
Nahitaji director/ nahitaji mtu atakae niongoza na kunioshesha njia ya sanaa ya...
Wataalam wa upasuaji kwenye ubongo na uti wa mgongo wameeleza kwa undani ni kwa namna gani marehemu Michael Jackson alivyofanikiwa katika kucheza miondoko yake iliyoonekana kuwa isiyowezekana...
KWANINI PROFESSOR JAY HAKUIMBA NDIO MZEE?
Hivi karibuni Professor Jay alikuwa na ugeni mkubwa, lakini alipopewa nafasi ya kuchana mistari, kinyume na matarajio yangu, akaanza kuvungavunga na...
Kwa kawaida wimbo mzuri ni ule ambao huburudisha nafsi yako, na sio fulani akiupenda lazima na mimi niupende, mfano kuna mtu anapenda nyimbo ya U.S kwa sababu fulani anaipenda au anaona kupenda...
Wale wahenga mnaukumbuka huu wimbo ???
Ulikuwa kwenye ile filamu ya NERIA, alikuwa anaimbiwa baada ya kutendwa na Finehasi.
[Verse 1: Oliver Mtukudzi]
Neria, Neria hoo
Usaore moyo ka Neria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.