Mambo ya Fid q,

Mambo ya Fid q,

JOTO LA MOTO

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2018
Posts
766
Reaction score
562
Jamaa kanikumbusha enzi hizo, mpaka leo ukiniamsha usingizini napiga hiyo verse ya ya kwabza ya LL Cool J yote,
 
LL Cool J...."when am alone in my room...sometimes i stare at a wall..and in the back of my mind..."
 
Hivi huyu msela kaoa ? Naonaga anaishi kigumu mno
Huyu Msela stori zake hazipo wazi sana.
Ndo maana hasomeki kabisa by the way ni lifestyle nzuri
Yupo na dem 1 anajiita mamacheusi dawa na fid hapindui hapo.
Cheusi dawa ni jina la Demu au brand?
Kweli, namsikaga anasema cheusi dawa entertainment.
Huyo mamacheusi ndio mpango kwa jamaa naona wanarushana sana huko mitandaoni.
Kumsoma ni kwa shiiiida.
naskia kanyoa para
Hahahaha, Farid baba wa watoto wawili Mama tofauti ,mtoto mmoja kazaa na mtoto wa kigogo wa zamani yuko humu JF ,mwingine kazaa na mzungu

Maskani Mikocheni B ,kijiwe sofa ,ana project zake kadhaa ,binafsi nimewahi kufanya nae kazi kadhaa kupitia balozi ya US
 
Ooh ila hawa watu sijui wanawapataga wapi hao wazungu
 
Ooh ila hawa watu sijui wanawapataga wapi hao wazungu
Aaah Mkuu, binafsi ningehitaji mzungu ningeisha zaa nae long time,mzungu sio dili hasa ukifanya wanayotaka , mtazame Faridi na watazame wengine walizaa na wazungu ndio utajua wazungu wanataka MTU wa aina gani
 
Aisee mkuu, mimi hua nataka kuoa mzungu .itabidi nifanye reasearch
 
Back
Top Bottom