nusuhela JF-Expert Member Joined Jan 26, 2014 Posts 6,456 Reaction score 8,084 May 13, 2018 #1 Tupendane penzi liwe sawasawa Lisiwe nusu na robo kwa kilo Penzi robo lingine liende kule Nataka yote mapenzi kwa kilooo Hakika nina mapenzi na huu wimbo kwakweli. Big up @Alikiba kwa wimbo huu kwakweli
Tupendane penzi liwe sawasawa Lisiwe nusu na robo kwa kilo Penzi robo lingine liende kule Nataka yote mapenzi kwa kilooo Hakika nina mapenzi na huu wimbo kwakweli. Big up @Alikiba kwa wimbo huu kwakweli
BumbleBeeBot JF-Expert Member Joined Jun 9, 2015 Posts 314 Reaction score 503 May 15, 2018 #2 Nyimbo ya kiba lazima uisikilize mara 2 au 3 ndo utaielewa na kuipenda. Hii nyimbo nzur sana tena ya kisonko. Nashangaa wanapondea
Nyimbo ya kiba lazima uisikilize mara 2 au 3 ndo utaielewa na kuipenda. Hii nyimbo nzur sana tena ya kisonko. Nashangaa wanapondea
Kanungila Karim JF-Expert Member Joined Apr 29, 2016 Posts 20,746 Reaction score 25,662 Sep 5, 2018 #3 Aissseeeee
Geranimo E K I A JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 3,254 Reaction score 5,392 Sep 12, 2018 #4 Wimbo mzuri sanaaa Sent using Jamii Forums mobile app