Sifi Leo
Platinum Member
- Mar 30, 2012
- 6,271
- 11,707
Kwa kipindi kirefu sjaweza andika lolote kupitia eneo ili;Marafiki zangu nina wakaribisha kununua RIWAYA AMBAYO NI UTUNZI WANGU MWENYEWE NDUGU SIFILEO!
JINA LA RIWAYA NI: SHIMO LA TAKA NDANI YA IKULU.
RIWAYA HII! Ni miongoni mwa andiko ambalo nimetumia ujuzi wangu wa kifasihi
Kuna visa vingi ambavyo rafiki yangu ukivisoma hutojutia kununua riwaya hii shimo la tata taka ndani ya ikulu!
Karbuni nyote siku si nyingi nitakismbaza kwenye bookshop karbu zote jijini Dar na nje ya Dar