Ukisikiliza nyimbo za diamond na wasafi wanaimba kuhusu ngono tu.
Ukija nyimbo mpya ya maua sama nayo ngono
Wimbo wa moto hauzimi ni ngono tu
Diva na richmavoko ni ngono tu
Hata Roza Lee Ngonon tu...
Wale tunaoshabikia mchezo huu japo kwa nchi yetu tumebaki wachache sana ila ni vyema kuendelea kujadiliana yanayojiri. Tarehe 15/09/2018 kutakuwa na mpambano wa kukata na shoka wa marudiano kati...
Hiki kipindi ni cha ajabu sana. Shafii Dauda anachapia mno kila anapojaribu kuongea kingereza na vile vile kipindi wanakifanya kama vile wako maskani wanapiga story tuu. Hivi kweli wanakosa hata...
Tupendane penzi liwe sawasawa
Lisiwe nusu na robo kwa kilo
Penzi robo lingine liende kule
Nataka yote mapenzi kwa kilooo
Hakika nina mapenzi na huu wimbo kwakweli.
Big up @Alikiba kwa wimbo huu...
Direct kwenye mada kuu,
Sanaa, kama ikitumika vema, ni nyenzo bora kabisa kuelimisha na kufurahisha jamii lengwa. Kwa miaka ya karibuni, bongo movie zimeondokea kupendwa na watu walio wengi kama...
Kwa kipindi kirefu sjaweza andika lolote kupitia eneo ili;Marafiki zangu nina wakaribisha kununua RIWAYA AMBAYO NI UTUNZI WANGU MWENYEWE NDUGU SIFILEO!
JINA LA RIWAYA NI: SHIMO LA TAKA NDANI YA...