Hawa ni wakali wangu wa rap katuni,niambie wako!!

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,168
103,624
Wakali wangu wa rap katuni
1.Inspector Haruni
2. Juma Nature
3. Mabaga Fresh
4. Mandojo na Domokaya

Tupia wako na mistari kadhaa ya rap katuni.
 
Orodha yangu kama yako, ila mi tumetofautiana namba! Yangu namba 1 ni Juma Nature
 
Kuna mtu anaitwa Daz Mwalimu (Sasa hivi dishi limeyumba kwa poda)

Mzee wa "nipe tano tukionana, gonga tukisalimiana, peace tukiagana, fitna haina maana. Unipe tano maanisha hakuna jelous, maisha haya sasa kaz kulipana visasi"

Alikua na sauti moja matata sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom