She calls me sweetie,I call her pretty girl
She calls me sweetie We gonna run this city!!We run this town!town!town!
We gonna run this city!!
Kafiga kananiita Nasikia raha kukashika
Usishoboke na...
Major Lazer wameachia wimbo mpya, ‘Loyal’ waliomshirikisha staa wa Jamaica, Kranium pamoja na hitmaker wa Nigeria, Kizz Daniel, Jumatano hii. Wimbo huu umekuja na video yake, ya nne katika...
Hizi nyimbo zinatoka mie ndo nilikuwa mgeni mgeni kwenye ajira. Mambo ya boyfriend girlfriend zone ndo yalikuwa yanabamba.
Siku ya siku nikamwambia I CAN MAKE YOU FEEL UNPRETTY TOO.... goosh he...
Mimi nilikuwa mpenzi sana wa miereka ya WWE lakini baada ya kuanza kuleta drama zao na maigizo kuanzia mwaka 2011 nikaacha kuifuatilia sababu ya maigizo kuwa mengi. WWE huwa hakuna mshindi wa...
[Verse 1]
Shombe shombe mtoto laini laini
Anawakawakaaa aaa
Wanga wape vidonge nimebaini baini
Wanatapatapaaa aaaaaa
Mmmh me na wewe mpaka kiama, tuombe uzima
Waroge kwa kuchutama na wasimame...
Simulizi inayozungumzia maisha ya kweli ya kijana aliyezaliwa katika kijiji maskini na chenye kila aina ya watu wakati huo huo akiwa katika safari ndefu ya elimu.
Je, anafanikawa kumaliza masomo...
Mambo vp pple, i'm a professional music producer and sound eng. i was in nairobi kuongeza ujuzi zaidi homeboyz music academy, natumia softwarez kama logic, reason and cubase for high quality audio...
Nimeamua ku post katika jukwaa hili nikiamini itawafikia watu wengi, naomba kujua maana ya huu wimbo wa injili ulioimbwa na mwimbaji wa injili kutoka CONGO Moise Mbiye unaojulikana kama "Tanga...
Wadau nawasilisha App hii ya Music ambayo itawezesha upatikanaji wa nyimbo za maudhui tofauti tofauti DOWNLOAD HAPA . Application hii ni kwa watumiaji wa simu zinazo support Android tu.
Wale wa kishua tukutane hapa wale wapenzi wa disney ni show ipi ilikuteka mimi ni hizi
1.good lucky charlie..Brigit mendler sasa ni pop star mkubwa
2.hannah montana..miley cyrus sasa ni pop star...