Wimbo "Tanga naye" unamaana gani?

Wimbo "Tanga naye" unamaana gani?

Ford Range

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2016
Posts
351
Reaction score
537
Nimeamua ku post katika jukwaa hili nikiamini itawafikia watu wengi, naomba kujua maana ya huu wimbo wa injili ulioimbwa na mwimbaji wa injili kutoka CONGO Moise Mbiye unaojulikana kama "Tanga naye". Najua hapa JF kuna watu ni wajuzi wa hii lugha iliyoimbwa humu ndani, naomba kujua maana wakuu, maana wimbo nimeupenda sana ingawa sijui wanaimba nini kwenye wimbo huu, nimetafuta lyrics zake kwa kiingereza sijapata. Nimejaribu kuuweka hapa lakini imeshindikana ila naamini JF ni nchi kubwa kuna watu hapa wanao na watanipatia maana.
 
Weka hizo lyrics hapa
 
Kawimbo kweli ni kazuri sema tu lugha ndo inatatiza
Yani kako poa sana, ni kama zile za Makoma unapenda tu kusikia zile rhythm na ufundi wao wa kuimba ila maana yake unatoka kapa, lakini moyo unajawa na utukufu wa Mungu.
 
Back
Top Bottom