Dedication Miaka Hiyooooo

Kasie

Platinum Member
Dec 29, 2013
21,248
36,302
Hizi nyimbo zinatoka mie ndo nilikuwa mgeni mgeni kwenye ajira. Mambo ya boyfriend girlfriend zone ndo yalikuwa yanabamba.

Siku ya siku nikamwambia I CAN MAKE YOU FEEL UNPRETTY TOO.... goosh he was so demanding like Kasie, if you wear this you'll llok pretty, if you put this on you'll look gorgeous, if you .....if you..... this was the song nilimtumia kama dedication siku nimechoka na nikam-mwaga mazima.



Baada ya kunimiss akanibembeleza turudiane. Nikamkatalia katakata, wanaume wa miaka ile wakiona una msimamo, anakwambia basi tuwe marafiki tuu kila mtu awe na mahusiano yake ila sie tuwe friends tuu. Ahahahahhaaa nikamjibu kwa kumtumia dedication hii hapo chini......

We can't be friends......



Hiki kiota nilichokaa kimenifanya nikumbuke zamani, wanapiga nyimbo za old school lovers.

Kuna jamaa mmoja alinikuta ndo nimetoka kuachana na mwanaume baada ya kuchoka kuumizwa nikaamua kuwa singo. Hata mwezi haujaisha jamaa mwingine akaanza kunitokea, alikuwa very handsome and one you can't resist to say no. Akaning'ang'ania weeeh mwisho nikamkubalia huku nikimuonya asiniumize mtima wangu maana nimetoka kuumizwa. Akaapia mpaka babu zake he won't let my heart fall. Kumbe alikuwa anataka mahaba ya kichotara tuu paaimbaaaifff zake, miezi mitatu tuu kanijeruhi vibaya... wala sikusemeshana nae. Nilimtumia huu wimbo hapo chini halafu sikumpata nafasi hata ya kumsikiliza wala kumuona.

Fool Again.....



Alamsiki.


Kasie Mahaba Matata.
 
Back
Top Bottom