Music producer from homeboyz kenya

Music producer from homeboyz kenya

The Industry

Senior Member
Joined
Sep 1, 2012
Posts
120
Reaction score
41
Mambo vp pple, i'm a professional music producer and sound eng. i was in nairobi kuongeza ujuzi zaidi homeboyz music academy, natumia softwarez kama logic, reason and cubase for high quality audio production, and i'm very flexible, so nafanya different types of genres, hiphop, rnb, house, reggae, zuku, trap muzik e.t.c, kwasasa nipo dar nategemea kuanzisha studio yangu soon but still bado tunaweza kufanya kazi hata sasa, so for all artists out there kama bado hujatoka na huna pesa ya kurecord track katika studio kubwa nicheki mapema ili uweze kufanya high quality audio track kwa pesa ndogo sana na kama uko talented sana basi tunaweza kufanya makubaliano na ukafanya ngoma bure, na kwa yeyote anaye hitaji instrumental kwasasa unaweza kupata instrumentals ambazo zipo well mixed and mastered for only 50,000/= na kama una ngoma zako unahisi hazijafanyiwa mixing na mastering poa nichek nikusaidie kwa bei poa tu, coz hivyo vitu viwili ndio vitu vya msingi zaidi katika audio production, nichek kwenye hii namba tufanye kazi 0687-108905 usiogope..kuna blog nitaifungua soon na nitakuwa na upload beats na kutakuwa na free beats downloads na news kibao kuhusiana na digital audio production..
Kasoro 1
 
Mkuu! Mi pia nipo talented, naimba Bongo flava ila still sijatoka coz sina money, so kama vipi nikuchek tuone jinsi ya kusaidiana.
 
Mambo vp pple, i'm a professional music producer and sound eng. i was in nairobi kuongeza ujuzi zaidi homeboyz music academy, natumia softwarez kama logic, reason and cubase for high quality audio production, and i'm very flexible, so nafanya different types of genres, hiphop, rnb, house, reggae, zuku, trap muzik e.t.c, kwasasa nipo dar nategemea kuanzisha studio yangu soon but still bado tunaweza kufanya kazi hata sasa, so for all artists out there kama bado hujatoka na huna pesa ya kurecord track katika studio kubwa nicheki mapema ili uweze kufanya high quality audio track kwa pesa ndogo sana na kama uko talented sana basi tunaweza kufanya makubaliano na ukafanya ngoma bure, na kwa yeyote anaye hitaji instrumental kwasasa unaweza kupata instrumentals ambazo zipo well mixed and mastered for only 50,000/= na kama una ngoma zako unahisi hazijafanyiwa mixing na mastering poa nichek nikusaidie kwa bei poa tu, coz hivyo vitu viwili ndio vitu vya msingi zaidi katika audio production, nichek kwenye hii namba tufanye kazi 0687-108905 usiogope..kuna blog nitaifungua soon na nitakuwa na upload beats na kutakuwa na free beats downloads na news kibao kuhusiana na digital audio production..
Kasoro 1

Big up sana kaka, hope watu wengi watajitokeza..
 
Poa sana nami nauza vifaa vya music na kukodisha mni PM

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Hongera sana mkuu kwa kazi nzuri vp ushawahi mtengenezea wimbo cmb prezzo?
 
Back
Top Bottom