LICHADI
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 4,146
- 11,192
Mimi nilikuwa mpenzi sana wa miereka ya WWE lakini baada ya kuanza kuleta drama zao na maigizo kuanzia mwaka 2011 nikaacha kuifuatilia sababu ya maigizo kuwa mengi. WWE huwa hakuna mshindi wa kweli bali ni washindi wa kupangwa.
ukija upande wa UFC wazee wa Octagon ndio habari ya town yaani wanatoa kichapo cha ukweli na hamna ujanja ujanja, Ushahidi mzuri ni kipigo alichokula jana Connor macregor kutoka kwa Mrusi Khatib, Macregor kachezea kichapo sio cha mchezo mchezo kachezea kipigo cha mbwa koko
Ronda rousey nae baada ya kuona ufc hali ni ngumu na hamna janja janja akaamua kukimbilia WWE, BROCK lasner nae pamoja na ubabe wake wa wwe lakini akija UFC huwa anachezea kichapo kikali hadi unajiuliza ndio yule brock nnayemfahamu?
Angalia hapa akila kichapo