Habari,, Dancers wanawake wanatafutwa mkoa wa mbeya
Vigezo;
1) Awe umri wa miaka 23_26
2) asiwe mnene
3) awe anaweza kutwerk na kudance
Kama unahitaji nifate PM
N.b hela ni nzuri [emoji184]
MTUNZI: George Iron
SEHEMU YA KWANZA
Safari nzima hakutaka kuzungumza na mtu yeyote hivyo alikuwa amepachika �earphone� masikioni mwake ili hata asiweze kusikiliza watu walikuwa...
Unaweza kusema hii ni moja ya faida ya utandawazi ambapo lugha, tamaduni hadi nyimbo za nchi moja huweza kuwafikia wengi katika mataifa mengine yenye tamaduni tofauti. Hali hii husababisha hata...
. Hivi ndio jinsi ilivyoanguka ndege iliyokuwa imembeba mmiliki wa club mabingwa 2016/2017 (Leicester city) ndani ya helicopter hiyo pia kulikuwa na jumla ya watu 5
[emoji120][emoji120][emoji120]
Kutokana na bwana MICHUZI tunaambiwa kuwa hawa ndio ma supastar wa BONGO
mimi kwa kweli i am still shocked na najua hii itakuwa controvesho lakini who cares
kwa sababu za UJINGA WAKE bwana...
Mtunzi Nyemo Chilongani SEHEMU YA 01
Sijui nianze kusema nini ili nieleweke, sijui kama ninatakiwa kucheka au kulia kwani kwa kile kilichotokea, ningependa Mungu anisemehe tu.
Kwa jina ninaitwa...
Habari wanajamvi. Nisiwe msemaji Sana niende moja kwa moja kwenye Mada. Naomba tushirikishane kutaja kolabo za wasanii wa muziki unaodhani mbele wakishirikiana kutoa kazi itashika Sana soko la...
Anayefahamu wimbo wenye maneno (nyie wote wake zangu mapenzi yangu kwenu ni sawa tupendane ndio heshima ya ndoa) naomba anijulishe band iliyoimba na jina la wimbo wenyewe maana naupenda na...
Kwa mlioiona. Nipo namaliziamalizia season 2. iko poa sana hii series. Huyu Teresita ananikosha sana. nili somaga kitabu El Narco basi nikatokea kupenda stori za hawa madrug dealers, nikacheki...
Wakuu nazani pesa zetu za vifurushi zinaenda tu especially cc wa azam maana tunalipia vifurushi lkn channel nyingi zimezuiliwa hadi sasa kwani tatzo ni nn na lini mwisho wake
Nianze kwa kusema wewe ni DJ unae heshimika sana.hapa jijiji DSM na.Tz kwa ujumla but kwa hili.nalizimika.kukumbusha ili usiendelee kujisahau.
Ni hivi kila.Siku ya Jumamos Dj Masoud Masoud huwa...
Kuna Tangazo linapiga sana wiki hii, Clauds fm, likitangaza Tamasha la Fiesta Musoma na Mwanza
Manzoni wakati nasikiliza hili tangazo la Tigo Fiesta 2018 Musoma na mwanza, niliposikia mtangazaji...
Mambo zenu JF...
Mwenye ako na series au movies za 2017 au 2018 please naomba....na animations pia[emoji7]....
Napenda za horror....mystery...sci-fi...thriller and the like....