shehani dege
New Member
- May 15, 2018
- 3
- 0
Anayefahamu wimbo wenye maneno (nyie wote wake zangu mapenzi yangu kwenu ni sawa tupendane ndio heshima ya ndoa) naomba anijulishe band iliyoimba na jina la wimbo wenyewe maana naupenda na nahitaji niuweke kwenye simu yangu