MASUPASTAR wa BONGO NDIO HAWA

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,545
825
Kutokana na bwana MICHUZI tunaambiwa kuwa hawa ndio ma supastar wa BONGO

r11.jpg

mimi kwa kweli i am still shocked na najua hii itakuwa controvesho lakini who cares

kwa sababu za UJINGA WAKE bwana MICHUZI huwa na amoderate KILICHOANDIKWA sasa nimeona bora niliifungulie baraza humu

http://issamichuzi.blogspot.com/2007/11/staa.html#comments
 
ooooooh, brazameni, karibu tena.... mbona umepotea hivyo, credit card yako imeisha balance nini?! mpaka wkend inaanza kutoweka... tulikuwa tunakusubiri wewe! lol

SteveD.
 
ebwana nilipewa two weeks ban na magay wetu humu...wanaume wazima eti hawapendi kuona picha za wanawake uchi sasa kama si ugay ni nini huo
 
ebwana nilipewa two weeks ban na magay wetu humu...wanaume wazima eti hawapendi kuona picha za wanawake uchi sasa kama si ugay ni nini huo

brazameni, sidhani kama kufanya hivyo nikuwa magay... ni mambo ya ustaarab tu na heshima na kufuata sheria za ukumbi, si unajua tena siyo member wote wako 16+ of age, na ukiweka mambo ya kiajabu siye wengine computer haziko vyumbani, ni sebureni kabisa na wageni na watoto wote waliokaa wanaweza kuona picha kwa mbali...

credit card yako mwenyewe mtoto wa miaka 17 hawezi kuipata, pia mambo ya maadili kama unavyojua tena lazima tuzingatie, hata kwenye dvd na games kuna ratings si unajua tena... pamoja na kwamba thread zako tunazipenda, sheria tusizivunje kwa kukusudia.. sikuona hiyo iliyokusabibishia wewe kupewa ban, hivyo sijui ilivyokuwa.

wangehamisha tuuu halafu picha zenyewe hazikuwa tofauti na mapicha ya akina richa au ma models wengine wa kibongo

maadili maadili hebu niambie mbona hayo maadili hayafiki kwenye matangazo ya pombe, sigara na upuuzi mwingineo?

anyway hayo tuachane nayo lakini naona michuzi kaamua kuondoa picha za hao masupasta wakibongo
 
Kweli hao ni masuperstar wa Bongo, lakini sijui bwana Michuzi ametumia vigezo gani kuwaita hivyo, au ni kuonekana sana kwenye magazeti ya udaku au kuhudhuria kila party mjini. Maana wote hao kitu chochote cha kuonyesha kuwa ni masuperstar zaidi ya kusubiri fadhira za wadosi.
 
ma supastaa gani michosho tuu wanasubiria fweza za mapedeshee zije ziwatunzee..hawana hata elimu au kazi za maana aka professions..kazi kuuza sura2,zikichoka watauuza nini??
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom