LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 19,900
- 37,694
Nianze kwa kusema wewe ni DJ unae heshimika sana.hapa jijiji DSM na.Tz kwa ujumla but kwa hili.nalizimika.kukumbusha ili usiendelee kujisahau.
Ni hivi kila.Siku ya Jumamos Dj Masoud Masoud huwa anapiga oldies at Lachaz Pub kuanzia SAA kumi na.moja za jioni hadi SAA tatu usiku.
Tatizo ni nyimbo unacheza mkuu..Wateja wanalalamika.wanasema.huwa unapiga nyimbo unazo.zipenda wewe badala.ya zile wanazo.penda wateja jambo ambalo.ni mwiko mkubwa sana.in deejaying.
Mbaya zaidi hata unapoanza kukaribisha request huwa unaendelea kucheza nyimbo unazo zipenda wewe in a.pretext that zimekuwa requested na.wateja .
Ndio maana Siku zote umekuwa unarudi kucheza nyimbo kama.chambua kama.karanga ya saida kalori, Jumamosi wa Diamond Sound, wimbo Fulani wa wajita ( wakurya? ) bila kusahau nyimbo za Papa Wemba, Mbaraka Mwishehe na Marijani Rajab.
Jambo hili.limekuwa kero sana kwa wateja kwani.licha ya kucheza nyimbo unazozipenda wewe umekuwa unacheza nyimbo ambazo haziendani na maudhui ya oldies .
Umekuwa unacheza Bakurutu badala ya kucheza Oldies.
Brother hebu just be serious for a second, hivi wimbo kama " Kilio Cha Yatima " wa Muumini Mwinjuma.ni wimbo wa kuwapigia watu ambao wameenda sehemu kustarehe? Like serious ? Hiyo nayo ni Oldies?
Unacheza nyimbo za Tz za.miaka.ya sitini na sabini while 90 percent of ur audience are in their early 30s . wachache kati yao.ni their 40s.
Unaposema unapiga oldies watu tinategemea utafanya kama.anavyo fanyaga mdogo wako John.Dilinga Matlou at Kempinski.
Anapiga old disco themed hits zilizo hit world wide ..Nyimbo.kama Let that move wa Shalamar, Cool It Now wa New Edition, Whos that girl wa Madonna etc.
Akija Afrik.anaturudisha Congo kidogo kwenye kizazi cha kina Kanda bongo man, Koffi Olomide , Pepe Kalle, Wenge Musica, Yondo Sisters, Sokous Stars, etc.
Nyimbo unazopiga zinaboa sana.mkuu na.hazituhamasishi wateja.kununua vinywaji.
Am.tellin u bro.hakuna kitu kinahamasisha wateja kununua vinywaji kwa wingi bar kama.muziki.mzuri.
Muziki.huo.ukiwa wa zamani ndo unahamasisha zaidi coz it brings a lot of memories.
Personally nimesha stuck.kwenye bar nyingi sana.nikitumia.hela.nyingi simply kwa sababu nilikuta unapigwa muziki.mzuri.
Ukitaka.kuamini.nnachokisema weekend moja.nenda Manzese Tip Top pale kuna bar inaitwa Savannah.
Bar ni ya kawaida sana compared to.Lachaaz but.huwa inajaza sana kwa sababu ya muziki.mzuri wa zamani unaopendwa na watu. Na.hawakai bure kama.Lachaaz they spend.
Be like ur audience to attract ur audience