Baadhi ya channel za kibongo zitarudi liniw

Sungusunguu

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2018
Posts
1,280
Reaction score
998
Wakuu nazani pesa zetu za vifurushi zinaenda tu especially cc wa azam maana tunalipia vifurushi lkn channel nyingi zimezuiliwa hadi sasa kwani tatzo ni nn na lini mwisho wake
 
we wa azam unalalamika, wa dstv tuseme nini, maana local channel iliyopo ni TBC tu, tumeisharidhika na hali, siku hizi taarifa ya habari tunasoma tu mtandaoni
 
Iv sababu kuu ni IPI kufanya hivi
 
Iv sababu kuu ni IPI kufanya hivi
mkuu mimi niliishaacha kufuatilia hayo mambo, maana waziri wa habari huwa anatoa majibu fulani utadhani anaugomvi na wamiliki wa ving'amuzi, wakati tuliishasema tupo tayari kuwa tunalipia hata local channels ila hasikii, analazimisha ziwe free, bila kujali sababu za kibiashara kuwa anaharibu biashara.
 
Subirini acheni viherehere ninalishughulikia swala lenu.
 
mkuu mimi niliishaacha kufuatilia hayo mambo, maana waziri wa habari huwa anatoa majibu fulani utadhani anaugomvi na wamiliki wa ving'amuzi, wakati tuliishasema tupo tayari kuwa tunalipia hata local channels ila hasikii, analazimisha ziwe free, bila kujali sababu za kibiashara kuwa anaharibu biashara.
Duh mbona wanatuumiza cc sasa
Ii serikali bana
 
Back
Top Bottom