DIAMOND BADILIKA

DIAMOND BADILIKA

Albinoomweusi

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2016
Posts
3,485
Reaction score
8,667
Ustaa ni kitu kikubwa sana, unapofanikiwa kuwa staa mambo mengi hubadilika katika maisha nawe unabidi ujifunze kubadilika kwa kika hatua unayopiga.

Diamond kijana wetu inabidi ujifunze kubadilika, Jifunze kutatua matatizo yako na mamlaka kama staa anaeheshimika, Jifunze kuzungumza kistaa, punguza kuongea sana, staa huongea na kufanya interview pale tu inapohitajika
Star huchagua Maneno ya kuzungumza si kila neno kinalokuja kichwani hutoka mdomoni, star huchunga ulimi wake.

Wasalam
 
Nawahi siti
 
Clouds digital ushapata 10,000 yako haya kalale
 
Clouds digital kachukue 5000 yako,unajitahidi kumshusha dogo
Mashabiki wa aina yako ndiyo mnachangia sana kuwaharibu vijana Wetu, akishauriwa ukweli mnatafuta mchawi mmpe lawama, ilihali iko wazi kwa anaemfatilia Diamond wa Leo si sawa na wa miaka miwili nyuma. Waleo kajaa Kiburi na no Mjivuni was waziwazi japo hivyo vyote ni hulka na tabia yake ila walau zamani aliweza kuvicontrol machoni pa jamii
 
Tatizo JF imevamiwa na mpaka ... mabox...
Kama atakuwa na bongo sheli sheli kama wewe ... au wapambe wa hivi..basi pole yake...

Ushabiki wa kijinga ...hapo akiporomoka wewe ndio utakuwa mbele kumcheka!

Rudi tu facebook...
 
Mashabiki wa aina yako ndiyo mnachangia sana kuwaharibu vijana Wetu, akishauriwa ukweli mnatafuta mchawi mmpe lawama, ilihali iko wazi kwa anaemfatilia Diamond wa Leo si sawa na wa miaka miwili nyuma. Waleo kajaa Kiburi na no Mjivuni was waziwazi japo hivyo vyote ni hulka na tabia yake ila walau zamani aliweza kuvicontrol machoni pa jamii
Mkuu umeona eeh...

Jamaa ni mjinga halafu ni bumla na mpuuzi....

Hadi huruma....
 
Ustaa ni kitu kikubwa sana, unapofanikiwa kuwa staa mambo mengi hubadilika katika maisha nawe unabidi ujifunze kubadilika kwa kika hatua unayopiga.

Diamond kijana wetu inabidi ujifunze kubadilika, Jifunze kutatua matatizo yako na mamlaka kama staa anaeheshimika, Jifunze kuzungumza kistaa, punguza kuongea sana, staa huongea na kufanya interview pale tu inapohitajika
Star huchagua Maneno ya kuzungumza si kila neno kinalokuja kichwani hutoka mdomoni, star huchunga ulimi wake.

Wasalam
Hawezi badilika kwa sababu anazungukwa na watu wenye upeo uliofanana na yeye anadhani kwa vile anapesa basi anaweza fanya /sema lolote lile.
Mara nyingi watu wenye inferiority complex wakifanikiwa wanapenda kuzungukwa na wapambe ambao kazi yao kubwa ni kumsifia. Ukiangalia wakati yuko na yule dada wa kiganda alibadilika kiasi lakini yule dada alivyombwaga amerudi kule kule alipokuwa mwanzo.
 
Umesahau shule hana, ustar bila shule nao ni mzigo tena wa misumari

Uimbe matusi kisa unataka pampasi ya tifaa, ni miaka 2 huyu, labda siasa iingilie kati

Ustaa ni kitu kikubwa sana, unapofanikiwa kuwa staa mambo mengi hubadilika katika maisha nawe unabidi ujifunze kubadilika kwa kika hatua unayopiga.

Diamond kijana wetu inabidi ujifunze kubadilika, Jifunze kutatua matatizo yako na mamlaka kama staa anaeheshimika, Jifunze kuzungumza kistaa, punguza kuongea sana, staa huongea na kufanya interview pale tu inapohitajika
Star huchagua Maneno ya kuzungumza si kila neno kinalokuja kichwani hutoka mdomoni, star huchunga ulimi wake.

Wasalam
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom