Daimond na rayvanny waomba msamaha kwa basata

Daimond na rayvanny waomba msamaha kwa basata

Ndio mchezo juo siku hizi. Wafanya kosa kisha wanaomba msamaha kisha wanakosea tena kisha wanaomba msamaha, kisha wanakosea tena na nafasi ya msamaha ipo.
Monotony bores
 
BASATA watakuwa wehu wakiwafungulia kirahisi hivyo, au wanapew kitu kidogo? hawa waachwe kwanza wajue wametuvunjia heshima kama taifa, iwakost hata miaka 2 hivi. Kifungo kiwe sawa na madhara ya uhuni wao kwa jamii
 
Clouds digital mnapata shida kumuharibia dogo
 
Akamwimbie matusi mzazi wake if that is what eventually he learnt from them, ati tiffany anabadilisha pambpasi kwa kutuharibia vijana wetu kwa matusi, fyekelea mbali
 
Back
Top Bottom