Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

JF Prefixes:

Natamani niandae tamasha kubwaa sana la wasanii wetu wa bongo fleva lakini wa nyuma sio wa sasa hivi na waimbe nyimbo zao za nyuma angalau mwisho 2010 hivi.. Binafsi nimegundua nyimbo za zamani...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wana jukwaa Naomba kujuzwa season Kali za kizungu zenye mambo ya kijasusi Asanteni.
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Wakuu habari za mda leo nimeleta mada hii tujadili kwamba tangu ujio wa microgenre mpya ya hiphop 2016 iliyoanzishwa na future, Gucci mane na chiefkeef iliyo kwenye trap genre hiphop style na...
3 Reactions
77 Replies
2K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimepata information kwamba watauza vingamuzi kuanzia wiki hii tovuti yao mpya Digitek Channels ITV EATV Capital TBC Startv Emmanuel Tv Citizen UBC CNN National Geographic ESPN na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mi sina mengi ya kuongea, jionee mwenyewe: nako2nako-hawatuwezi - YouTube Una neno lolote la kuwaam bia CCM kuhusu uchaguzi wa madiwani Arusha? Mimi langu ni WALIJARIBU WALE
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Testamao ya Pascal-Emmanuel Sinamoyi Tabu! RIP one of my day-life musician ever ! The voice of lightness ! Tuta kukumbuka kwa vitu vyako vikali kama Mase, kaful mayay, Muzina, Mokolo...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Diamond alitutangazia album mwaka huu na juzi kati alikua south Africa kufanya finishing ya album leo ameshea picha kwenye page yake ya Instagram akiwa anaongea na mwanamuziki wa marekani swaelee...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Katika harakati za kutafuta maisha, mwishoni mwa miaka ya 90, niliamua kuondoka nyumbani na kuzamia bila passport wala ela ya kutosha. Lengo lilikuwa kufika Italy au Spain kwa maana maisha ya...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
wadau tupeane movie kali za mapigano za mwaka huu
0 Reactions
8 Replies
2K Views
While there are some movies stand out more than others with their amazing plot, humor or actors, there are also some that give us their awesome endings! Well, if you want to watch some movies...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
KWA WA ZALENDO WA NCHI YANGU TANZANIA. Na hii ndio Zawadi kwa Taifa langu kadri ya uwezo wangu. Jiamini Wewe na Mimi tu Watanzania, tukijua hivyo tutailinda AMANI yetu na Upendo tuliyoachiwa na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwema Wakuu! Kabla Sabato haijaingia nimelikuwa nacheki hapa muziki nikaona huyu Mwanamuziki Card B, hapohapo nikashangaa swali linakuja. Inakuwaje Rappers wakike wa Mbele, makuu, mamtoni, Kwa...
7 Reactions
37 Replies
2K Views
Wakuu poleni na majukumu nina utafuta wimbo mmoja wa marijani rajabu...anapiga sana guitar halaf anasema Huyo humuwezi daktari wake mimi je unaitwaje? nitashukuru sana sana kwa atakayenisaidia...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Visit HighGrade Sounds. fo rReggae n Dancehall Riddimz Mpya Kali
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Huwa napenda sana kipindi cha Sports Bar cha Clouds. Naona wanaongea sana kuhusu Ndondo Cup. Sasa jana walikuwa timu ya Kauzu yule jamaa ana uwezo kweli wa kumobilize watu ila ile lugha bana...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Na mimi Sultan Uwezo. Ninapoizungumzia FILAMU YA NYARA siyo kwamba nimeiandaa mimi la hasha bali nimejaribu kuangalia utofauti uliopo kati yake na nyingine ambazo ambazo mhusika ni MASIKINI...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom