makedonia
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 4,362
- 3,656
Goli la kwanza[emoji15] {WAHEDA}....mbumbumbu wakasema "wametangulia tu"... la pili {ASHARA}...mambumbumbu yakajipa moyo tena"tumejisahau tu"...la tatu {THARATHA}...maboya yakasema "hiyo penati hatuihesabu wamebebwa"...la nne {ARBA}...nyoro zikawapwita...la tano {GHAMSA}...mambulura yakavunja chupa na maviti ya watu huku mtaani......sasa kuna BOYA MOJA FALA KWELI linasema "HAWA WATAKUJA TU KWETU TUTALIPIZA".......N.B.mkumbuke nyie mikia..ukiangalia msimamo wa sasa,timu hizo za JUU, i.e AL AHAL na AS VITA ndio zitakazo pita.....POLENI WAN'GOA VITI
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app