NGOMA IPI NI BORA KATI YA HIZI MBILI!?;

NGOMA IPI NI BORA KATI YA HIZI MBILI!?;

Luck money

Member
Joined
Jan 14, 2019
Posts
16
Reaction score
0
wakuu,,na waheshimiwa mchango wenu ni wa kuheshimiwa na kuthaminiwa pia katika muziki wangu,naomba kama utasikiliza ngoma hizi nipe maoni yoyote yale yawe positive or negative yote nitayapokea,na kama nimezingua nichane hapa hapa ili nijilekebishe na nifikishe ujumbe kwa wasanii wenzangu pia chukulia wewe ni judge ungeipa ngoma ipi iwe bora kuliko nyingine!? Niambie hapa tuone ipi ni kali ikiwa lengo letu ni moja tu kuupeleka mziki wetu kimataifa na dunia kiujumla, lakini ikumbukwe kuwa nyimbo hizi mbili zimeimbwa na zinamilikiwa na #official Lucky money#from BJNmusic empire,mbeya;
 

Attachments

Naomba kwanza tujue umeimba miondoko gani. Wabana pua, hip hop, rnb, kisingeli ama nini?
 
Back
Top Bottom