Natafuta movie ya kivita inayozungumzia vita ya Vietnam au ya vita kuu ya dunia ambayo haimpendelei Marekani

ankai

JF-Expert Member
Nov 25, 2017
2,219
2,000
Jamani wanajamvi habari zenu natafuta MUVI ya vita ya VIETNAM au ya vita kuu ya pili ya dunia ambayo HAIMPENDELEI Marekani

maana nimechoka sana kuangalia MUVI zilizojaa propaganda za Wamarekani yani kifupi MUVI zimejaa uongo mwingi kuuusu uwezo wa Marekani katika medani za kivita yani air battle, ground battle, marines,battfield.

MUVI nyingi zinazohusia na hizi vita zinalenga kuifanya Marekani ionekane ina uwezo mkubwa sana kuliko majeshi mengine duniani.

mfano denge za adui kudunguliwa Lkn za Marekani hazidunguliwi wakati wa vita,
askari wa nchi nyingine kupukutishwa kama vile mateja wakati wa Marekani ata lipigwe bomu waga wanauwezo wa kulikwepa kitu ambacho c sahihi

Tafadhali anayejua MUVI ambayo haina bias kama izo yani upendeleo dhidi ya Wamarekani naomba unitajie jina apa ili niitafute na niweze kutii kiu yangu.
 
Rubuye123

JF-Expert Member
Dec 18, 2009
2,105
2,000
Hollywood is America's massive propaganda vessel....i doubt u'll find it.
btw; chuki au ushabiki wa nani yuko sawa au ni mnyonge kuliko mwingine hatusaidii kupambana na hali zetu
 
cosmonaut

JF-Expert Member
Apr 12, 2015
1,373
2,000
Jamani wanajamvi habari zenu natafuta MUVI ya vita ya VIETNAM au ya vita kuu ya pili ya dunia ambayo HAIMPENDELEI Marekani

maana nimechoka sana kuangalia MUVI zilizojaa propaganda za Wamarekani yani kifupi MUVI zimejaa uongo mwingi kuuusu uwezo wa Marekani katika medani za kivita yani air battle, ground battle, marines,battfield.

MUVI nyingi zinazohusia na hizi vita zinalenga kuifanya Marekani ionekane ina uwezo mkubwa sana kuliko majeshi mengine duniani.

mfano denge za adui kudunguliwa Lkn za Marekani hazidunguliwi wakati wa vita,
askari wa nchi nyingine kupukutishwa kama vile mateja wakati wa Marekani ata lipigwe bomu waga wanauwezo wa kulikwepa kitu ambacho c sahihi

Tafadhali anayejua MUVI ambayo haina bias kama izo yani upendeleo dhidi ya Wamarekani naomba unitajie jina apa ili niitafute na niweze kutii kiu yangu.
Hizo movie zipo asia, korea north,china na hata vietnam kwenyewe, pia urusi watakuwepo nazo
 
hearly

JF-Expert Member
Jun 19, 2014
42,673
2,000
Jamani wanajamvi habari zenu natafuta MUVI ya vita ya VIETNAM au ya vita kuu ya pili ya dunia ambayo HAIMPENDELEI Marekani

maana nimechoka sana kuangalia MUVI zilizojaa propaganda za Wamarekani yani kifupi MUVI zimejaa uongo mwingi kuuusu uwezo wa Marekani katika medani za kivita yani air battle, ground battle, marines,battfield.

MUVI nyingi zinazohusia na hizi vita zinalenga kuifanya Marekani ionekane ina uwezo mkubwa sana kuliko majeshi mengine duniani.

mfano denge za adui kudunguliwa Lkn za Marekani hazidunguliwi wakati wa vita,
askari wa nchi nyingine kupukutishwa kama vile mateja wakati wa Marekani ata lipigwe bomu waga wanauwezo wa kulikwepa kitu ambacho c sahihi

Tafadhali anayejua MUVI ambayo haina bias kama izo yani upendeleo dhidi ya Wamarekani naomba unitajie jina apa ili niitafute na niweze kutii kiu yangu.

hao kwa misifa mbona ndio zao...eti chuck noris anapigana na wavietnam 40 akiwa peke yake na anafanikiwa kuwaua wote ...nilipoanza kuwa naakili timamu niliachaga rasmi kutazama movie za America ambazo zinebeba maudhui yanamna hiyo...
hapa ni corean series..China then na za Thailand...huwa zinasuuza moyo wangu na nafsi yangu zaidi kuliko hao Jamaa..
movies nyingine zinazonitwala ni za waingereza...kama ile series ya into the badland...daaahh huwa siishi hamu kuitazama
 
RRONDO

JF-Expert Member
Jan 3, 2010
42,666

Hio labda nenda katafute VIETNAM ila hizi za Holywood kila vita kashinda Marekani.
 
RRONDO

JF-Expert Member
Jan 3, 2010
42,666
2,000
hao kwa misifa mbona ndio zao...eti chuck noris anapigana na wavietnam 40 akiwa peke yake na anafanikiwa kuwaua wote ...nilipoanza kuwa naakili timamu niliachaga rasmi kutazama movie za America ambazo zinebeba maudhui yanamna hiyo...
hapa ni corean series..China then na za Thailand...huwa zinasuuza moyo wangu na nafsi yangu zaidi kuliko hao Jamaa..
movies nyingine zinazonitwala ni za waingereza...kama ile series ya into the badland...daaahh huwa siishi hamu kuitazama
Kuna matukio ya kweli ya watu wachache au mmoja kupambana na hao 40 au zaidi. Kwenye vita wakati wengine wanapigana kwa ndege nk wapo special forces wanatumwa kwa mission maalum. Hawa wanaweza kuwa watano,watatu wanaenda sehemu ambako wanapambana na kikosi kizima.

Hawa watu wana uwezo wa hali ya juu,kuua watu 50 mtu mmoja si ajabu. Hawa Navy Seals,SAS,Delta Force Commandos walifanya mission kadhaa ambazo ni chanzo cha movies kama za Rambo au Chuck Norris ingawa ni kweli kwenye movies wanaongeza sana chumvi.

Ukiwa mpenzi wa NatGeo documentaries ungeona hizo stori za kweli kabisa recently za Iraq,Afghanstan,Pakistan etc. Tafuta documentaries/series za LEAVE NO MAN BEHIND.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom