Watanzania tumekuwa tukiubeza mziki wa singeli lakini kuna wakati utafika kuna nchi itaupora na kuuongezea ubunifu. Wataupa jina lingine na sisi tutaanza kulalamika kama kawaida yetu.
Singeli is...
Ijapokua wengi hua wanapata taabu sana kumuelewa Mrisho Mpoto lakini hakuna atakaebisha kua jamaa anaitendea haki fasihi, hebu sikilizeni huu wimbo wake mpya halafu mlete mrejesho. kiiitendwiiiili
binti jinxiu familia yake inauliwa yote na wajapan anapona peke ake anakwenda mjini huko anakutana n a na dada yake lakini dada hamtaki naye anataka kulipa kisasi kwa vile baba ake na binti...
Hii riwaya nmeisoma mda c mrefu na jina limenitoka ila ni kisa cha mdada jack na mumewe caros wakitaka kuiba benk naiomba hii mwenye nayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wimbo nautafuta, sijui unaitwaje ila ni wakitambo kidogo, na waimbaji ni mdada mmoja mwenye asili ya Asia, (china/Korea au Japan) akishirikiana na jamaa mmoja mwenye asili ya Africa ,naomba...
Naomba kufahamu wimbo unaohit kwa sasa wa Chibu Dangote.
Sababu za kuuliza swali langu ni huu mfululizo anaoufanya kuachia nyimbo kama fungu la.mchicha.
Itakuwa vyema kuwa na chati ya TopHit kwa...
Habari wakuuu kwanza nawapenda Sana
Samahani kuna wimbo nautafuta Sana halafu Sasa nimesahau aliuimba Nani
Ila kuna sehemu wanaimba hv
"I lavyuu Maria debodeboooraa ailavyuu Maria...
Leo hii nimepigiwa simu asubuhi na mazungumzo yalikuwa kama hivi:
0688564622: Hello Habari
Mimi: Nzuri, Habari ya kwako
0688564622: Mimi ni wakala wa Vodacom Mpesa hapa dar es Salaam
Mimi: Ok...
Kila nikisikikiliza zilipendwa ya Mond na seduce me ya Kiba then nkihusianisha na comments za watu mtandaoni nashindwa kuelewa kama me nimedownlod nyimbo tofaut na zenu au sikio langu limepinda...
Huu ni wimbo wa bongofleva ambao nilitokea kuupenda sana ila umenitoka kidogo, una mashairi haya; Nilimfukuza mpenz wangu eti kwa sababu ya bintii, nilimfukuza wangu moyo eti kwa sababu ya bintii...
Naam
Naam yeye ni zawadi ya kimwambao, binti wa pwani. Sijui nimuite malaika wa kibantu, kihabeishia au kiajemi sielewi nimuweke kundi lipi hata
Unaweza kuuona uzuri wa wake pia kwa kuitazama...
Wakubwa nakuja tena kwenu kwa mara ya nne,naomba mtu anayejua mahala nakoweza kupata tamthiliya ya SIRI YA MTUNGI ikiwa imekamilika.
Youtube kuna episodes chache tu.
MWANDISHI: NYEMO CHILONGANI.
SIMU: 0718 069 269.
MAHALI: DAR ES SALAAM
KAHABA KUTOKA CHINA 1
‘Nisikilize Rose. Unataka niseme nini ili ujue kwamba nakupenda? Unataka nifanye nini ili ujue...
Emancipate yourselves from mental slavery none but ourselves can free our minds, have no fear for atomic energy, cause none of them can stop the time, how long shall they kill our prophets, while...
Verse yake iko hv
'Kazi yao yote ua bure, sasa wanaona ubaya
Sisi sasa nawashambulia, wasijue hata lakufanya
Jeuri yao wote sasa, imekwisha kabisa leo
Kucheza na miziki ya watu,sasa wamekwisha...
Nimekuwa nikivutiwa sana na uimbaji wa hawa jamaa kwny huu wimbo na video yake ambayo sichoki kuitazama.mwenye lyrics za huu wimbo aweke hapa tafadhal maana nmetafuta sana ktk source nyingi bila...
Nyota wa mpira wa vikapu nchini Marekani LeBron James amewapongeza wachezaji wa ligi ya soka ya Marekani NFL ambao wamefanya mgomo dhidi ya rais Donald Trump na kumtuhumu rais huyo wa Marekani kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.