Wizi ulioibuka siku hizi- wanao jifanya ni mawakala wa MPESA

Mung Chris

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
3,367
3,778
Leo hii nimepigiwa simu asubuhi na mazungumzo yalikuwa kama hivi:

0688564622: Hello Habari

Mimi: Nzuri, Habari ya kwako

0688564622: Mimi ni wakala wa Vodacom Mpesa hapa dar es Salaam

Mimi: Ok unasemaje

0688564622: kuna mama anaitwa Neema Tosha ametuma hela kimakosa imeingia kwako, amekosea namba 1 tu.

Mimi: katuma sh ngapi

0688564622: sh 88,000 umeiona?

Mimi: Bado sijaangalia sms kwenye simu,

0688564622: Lakini simu yako si ina MPESA

Mimi: Kwanini unataka ujue kuwa simu yangu ina MPESA

0688564622: ………………..(kapotezea na kukata simu haipatikani tena).
 
Mbona hio expired technique

kote hakufai
 
Huwa wanatuma message ya kutbibitishwa et umepikoa kias Fulani cha pesa.....ndo uhuni wao kwa mtu aliye makini atajua kuwa ukipokea hela itakuja kwa jina la TIGOPESA/M-PESA na si vinginevyo
 
Huwa wanatuma message ya kutbibitishwa et umepikoa kias Fulani cha pesa.....ndo uhuni wao kwa mtu aliye makini atajua kuwa ukipokea hela itakuja kwa jina la TIGOPESA/M-PESA na si vinginevyo
Mkuu ukitegemea lije jina TIGOPESA unajiweka kwenye mazingira ya hatari.Unaweza kuibiwa na MTU wako wa karibu.
Mfano:Mtu/rafiki yako (Mwenye nia ya kukuibia),Anaweza kuchukua/kuazima simu yako kama anampigia mtu alafu anasevu namba yake mpya Kwa Nina LA TIGOPESA/M PESA then anatulia ata siku chache hivi,Kwa sababu atakuwa anajua mzunguko wako wa hela,au huduma utoazo.kitakachofuata ni kuedit SMS ya m pesa na kukutumia.

UKIPIGIWA SIMU KUWA MTU KAKOSEA KUKUTUMIA HELA,USIPANIKI/KUJASURIKA WEWE MWAMBIE AWAPIGIE WATU WA MTANDAO WAIRUDISHE WENYEWE.
 
Back
Top Bottom