Mwenye mashairi ya wimbo huu!

Sir Good

JF-Expert Member
Aug 19, 2013
1,031
406
Huu ni wimbo wa bongofleva ambao nilitokea kuupenda sana ila umenitoka kidogo, una mashairi haya; Nilimfukuza mpenz wangu eti kwa sababu ya bintii, nilimfukuza wangu moyo eti kwa sababu ya bintii, moyo wangu unauma nafsi yangu inajuta mamaa...
 
Mimi ninayo audio yake ndo mlio wangu wa simu huoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahah hapana mkuu Galapagosi, huu wimbo nimeupenda kutokana na kisa cha huyo ambaye alimfukuza mpenzi wake baada ya bint mmoja mdogo kutoka kijijini kwao kufoji barua ambayo alimletea jamaa hiyo ilimtaka jamaa amchukue huyo bint kama mkewe...
 
Mkuu xenon, unajuwa huu wimbo una mashairi mazuri sana tena yenye kuifunza jamii tofaut na nyimbo za sasa za bongofleva. Naomba nikumbushe jina la mtunzi na aliyeimba huu wimbo mtamu usiyokinaisha masikioni ili na mimi nikautafute.
 
...bint huyu amekuja na barua mkononi toka kwa wazazi, roho yangu inaumaa, nafs yangu inajutaa bint huyu amekuja na barua mkononi toka kwa wazazi!!! seduce me sijui mavi gani sijui zilipondwa ooh zilipendwa tupa kulee kwa wabana pua.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom