Nahitaji kujua aloimba hii singeli na jina la nyimbo kwa ujumla

dullydon

Member
Dec 12, 2016
81
30
Verse yake iko hv
'Kazi yao yote ua bure, sasa wanaona ubaya
Sisi sasa nawashambulia, wasijue hata lakufanya
Jeuri yao wote sasa, imekwisha kabisa leo
Kucheza na miziki ya watu,sasa wamekwisha kabisa


Cheza goma na cham la dar bomba
Tucheze zilipendwa*2
 
Ndio mkuu. Watu wa singeli wameuchota. Nimependa idea yao nauhitaji haswa niliusikia Efm unapigwa

Mkuu,

Huu wimbo umeimbwa na kundi la Dar Bongo Massive (DABOMA) wakiongozwa na Goodluck @ Goodie Sense. Wimbo huu kwa sehemu kubwa (midundo, mashairi na hata melodia) umekuwa "sampled" na wimbo wa Kilwa Jazz (nimeusahau jina).

Kaka ...
 
Sawa sawa huo wa kilwa unaitwa nachekacheka kilwa leo. Niliupata mzee respect!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom