Wosia wa Bi Kidude si mchezo

Wosia wa Bi Kidude si mchezo

Hamfaham kikwete huyu... Hapo anakula ndo maneno yanamtoka hivyo sababu anajua baada ya hapo ataenda chooni. Akaulize wenzie watamwambia kikwete ni nani.
 
Wewe ndiye humjui bi kidude ndiyo maana ukaandika ujinga ulioandika...Mungu akurehemu anyway!
 
nadhan unge rehemiwa wewe kwanza. sasa bi kidude unamwona ana uelewa mzuri kwa hayo maneno anayoongea hapo? inawezekana na wewe ni zao hilo hilo. nyie watu hamtaki kufanya kazi,hamtaki kufikiri... mnawaza nanii tu matokeo yake mnazoea maisha ya kipuuzi. inawezekana kabisa na mama yako naye akajiita kidude? hata jina tu linaonesha mhusika si wa kawaida na anayoyasema si ya kawaida pia. unapaswa wewe na huyo kidude mrehemiwe sana tu. na kikwete apumzike tu kwa amani kutokana na aliyoyafanya hapa nchini.kwa heshima nadhan tumwache na tuache kumsingizia kila jambo likiwepo hili aliloonge huyo bi KIDUDE... MTU KABISA ANAITWA KIDUDE???????????

Umeishia darasa la ngapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom