Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Jamani nawauliza mashabiki wa Dimond kituo chake cha TV kimeishia wapi maana alitangaza atakizindua tarehe 1/5/15 mpaka leo natafuta channel ya kituo sipat or kisubusi changu kinanidanganya.
3 Reactions
61 Replies
10K Views
Picha inaongea maneno mengi. Sent using Jamii Forums mobile app
6 Reactions
10 Replies
2K Views
Ningependa kukiri kuwa mimi ni shangiliaji wa timu ya Yanga japo mpira kidogo umenipitia pembeni. Ila kwa haya mashindano ya kombe la Afrika na hatua waliyofikia Simba, nimeamua kuwa upande wa...
0 Reactions
0 Replies
746 Views
Huyu mwanadada ni moto wa kuotea mbali sanaaa, kaimba wimbo mgumu sana! CC: GreenCity , titimunda
6 Reactions
20 Replies
3K Views
Msada kwenye tuta matokeo ya Simba mwenye nayo pls Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
702 Views
Nisaidieni ule wimbo ameimba bidada Jolie na wenzake (siyo studio version) nataka audio yenyewe official kabisa! Napitia magumu mpaka nimeukumbuka huo wimbo! "Nimekubali matokeo, Jana yangu...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Napenda tuchangie tuone wapi muziki wetu unakwama hasa katika Live show. Na hapa siongelei kikundi kimoja ni kwa ujumla. WCB ni katika label iko juu hapa Tz na ni kama kiongozi wa mzuki wetu na...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
WAKALA WA SHETANI SEHEMU: 01 MTUNZI: Ally Mbetu ‘Dr Ambe’ SIMU: 0713 646500... WAKALA WA SHETANI Kila mwanadamu yupo duniani kwa ajili ya kuishi, hakuna mwanadamu aliyeumbwa kupata mali...
2 Reactions
5 Replies
4K Views
RIWAYA;MAMA WA KAMBO. MTUNZI;RAJA SAIDY WHATSAPP;0756920739 SMS;0621047841. UTANGULIZI Katika siku hizi watu wengi uwalaumu mama wa kambo kwa sababu za kimsingi,ikiwemo na kuwanyanyasa wanao...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Hii ilitokea Mwaka 1915 huko Nchini Marekani Kusini mwa Mji wa Carolina Ambapo 'Essie Dunbar' Aliyekua na Umri wa Miaka 30 Alifariki Akiwa na Ujauzito Aliokua Akikaribia Kujifungua. Wakati...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
??[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimekuwa namfuatilia Msanii Diamond juu ya upataji wa Tuzo mbalimbali kama tulivyozoea. Ni muda sasa sijamsikia Msanii huyo kuibuka tena na Tuzo mbalimbali kama zamani je tatizo ni nini? Sent...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Salaam wakuu,mwenye wimbo wa kimbunga mchawi mpira pasi tafahdali aweke apa nimeutafuta mtandaoni sijaupata.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Moja ya wanamuziki wa hip hop kutoka Los Angeles Marekani Nipsey Hussle amefariki dunia baada ya kupigwa risasi 6 nje duka lake la nguo ambalo lipo kati ya Slauson Avenue Crenshaw Boulevard...
3 Reactions
11 Replies
5K Views
Pata kitu dizoizo kutoka kwa wenge musica(wakiwa full)...kwa hisani ya papa sr bachelor http://youtu.be/w4jZilw5o_U
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wimbo mpya wa 'Sina Maneno' by Samedali Afrika, mwanafasihi, sasa unapatikana kwenye mtandao wa youtube na mdundo.com Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Angalia uwezo wake kwa link hii Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
2K Views
CHOMBEZO: TOROJO BAMIA( Winga teleza) SEHEMU: 01 MTUNZI: DR AMBE SIMU: 0713646500 TOROJO BAMIA( Winga teleza) Ilikuwa mara ya pili akipita na ndoo kichwani...
2 Reactions
4 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…