UNDANI WA KIFO CHA RAPPER 'NIPSEY HUSSLE'.

Chambou255

Member
Feb 15, 2019
16
19
Moja ya wanamuziki wa hip hop kutoka Los Angeles Marekani Nipsey Hussle amefariki dunia baada ya kupigwa risasi 6 nje duka lake la nguo ambalo lipo kati ya Slauson Avenue Crenshaw Boulevard.

Nipsey alikuwa amekaa nje ya duka pamoja na watu wengine wawili ambao nao walipigwa risasi lakini hali zao zinaridhisha, mpaka sasa hakuna yoyote aliyekamatwa kuhusiana na tukio hilo.

Dakika chache kabla ya kupigwa risasi alitweet kwenye kurasa yake 'Maadui wenye nguvu bi baraka' ikionyesha kama alihisi kuna wasiomtakia mema wanamuwinda, kwani dakika kadhaa ndipo akashambuliwa.

Kama ilivyokuwa tamaduni ya wanamuziki wengi wa hip hop marekani,Hussle alikuwa anajihusisha na kundi la 'Rolling sixty Crips' wanaopatikana Los Angeles.

Nipsey 33 anaongezeka kwenye orodha ya marapper nguli kama Big L (Harlem), Bankroll fresh (Atlanta) na Proof (Detroit), Jimmy wopo (Pittsburgh), Xxtentacion (Florida) ambao wote wameuliwa kwenye sehemu walizozaliwa.

Marapper wa kimarekani wamekuwa wakipata madhila haya kwa muda, pengine sababu ikiwa ni kutukuza maisha ya 'Gun violence' kwenye mistari ya nyimbo zao na kuishikaribu na watu ambao bado wapo kwenye staili hiyo ya maisha.

Nipsey alichaguliwa kuinngia kwenye kipengele cha album bora ya mwaka uliopita kupitia album yake ya 'Victory Lap' tuzo hiyo akiichukua Cardi b kwa album ya 'Invasion of Privacy'.

Nipsey alikuwa anatarajia kuzalisha makala ya kesi ya Dr Sebi, Sebi mzaliwa wa Honduras alidai kwamba anaweza kutibu ukimwi na kufikishwa mahakamani akishinda kesi hiyo, alifariki 2016.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah jamaa he was really alikwa na foundation ya kuwasaidia watu wa jamii yake

His music inspires more to the streets R.I.P nipsey.
 
mbona akina snopy doggy hawawaui?
Ukimsikiliza snoop kwenye documentary yake ya reincanated anaelezea kuna kipindi alitaka kujitoa kwenye gang life alianza kutafutwa hadi akakosa amani anasema jamaa wakikutaka hawakukosi ilimbidi mwenyewe ajirudi aendelee kuwachangia masela, ni lazima uwe crip au blood, sasa nipsey ameuawa na crip wenzie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukimsikiliza snoop kwenye documentary yake ya reincanated anaelezea kuna kipindi alitaka kujitoa kwenye gang life alianza kutafutwa hadi akakosa amani anasema jamaa wakikutaka hawakukosi ilimbidi mwenyewe ajirudi aendelee kuwachangia masela, ni lazima uwe crip au blood, sasa nipsey ameuawa na crip wenzie.

Sent using Jamii Forums mobile app
Taarifa mpya zinasema alikuwa ex gang member wa rolling 60s, akasnitch (kushirikiana na poliai kukamata gang members wengine) na jamaa akataka kuingia duka la Nipsey, nip akakataa jamaa akarudi na kufanya tukio

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom