Huyu ndiye Mwanamke Essie Dunbar Aliyefariki na Kufufuka, Aliishi Miaka 40 baada ya Tukio hilo

FM facts

Member
Mar 16, 2019
45
88
Hii ilitokea Mwaka 1915 huko Nchini Marekani Kusini mwa Mji wa Carolina Ambapo 'Essie Dunbar' Aliyekua na Umri wa Miaka 30 Alifariki Akiwa na Ujauzito Aliokua Akikaribia Kujifungua.

Wakati Maombolezo Yakiendelea, Asubuhi ya Kesho yake Dada yake Alifika na Kuhitaji Kuutazama Mwili wa Marehemu Mdogo Wake ndipo Alipogundua imefanyika (Coffin Birth) Lakini Chaajabu Marehemu huyo Alizinduka na Kuonekana Akitabasamu.

Lilikua ni Jambo lisilo la Kawaida, Lakini ikabidi Kusiwe na Msiba tena, 'Essie Dunbar' Aliendelea Kuishi na Akafariki Miaka 40 Baadae Akiwa na Miaka 70!.

Coffin Birth ni Hali ya Mwanamke Aliyefariki Kujifungua!, Hii Hutokea Baada ya Mwili Kuanza Kuharibika (Ku-Decompose) hivyo Gesi Iliyopo Katika Mfuko wa Uzazi Huanza Kumsukuma Mtoto Nje Japo nae Hua Kafariki pia.

Kwa Kawaida Miaka ya sasa Ikitokea Hali hii ya Mama Kufariki Akiwa Mjamzito, Hufanyiwa Upasuaji na Mama na Mtoto Kuzikwa Tofautitofauti lakini Miaka ya Nyuma Ilikua Mama anazikwa na Kiumbe Chake Tumboni Hivyo Baada ya Muda Coffin Birth Hutokea na Mtoto Kutoka Kwa Njia ya Uke.
IMG_20190403_091301_817.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ilitokea Mwaka 1915 huko Nchini Marekani Kusini mwa Mji wa Carolina Ambapo 'Essie Dunbar' Aliyekua na Umri wa Miaka 30 Alifariki Akiwa na Ujauzito Aliokua Akikaribia Kujifungua.

Wakati Maombolezo Yakiendelea, Asubuhi ya Kesho yake Dada yake Alifika na Kuhitaji Kuutazama Mwili wa Marehemu Mdogo Wake ndipo Alipogundua imefanyika (Coffin Birth) Lakini Chaajabu Marehemu huyo Alizinduka na Kuonekana Akitabasamu.

Lilikua ni Jambo lisilo la Kawaida, Lakini ikabidi Kusiwe na Msiba tena, 'Essie Dunbar' Aliendelea Kuishi na Akafariki Miaka 40 Baadae Akiwa na Miaka 70!.

Coffin Birth ni Hali ya Mwanamke Aliyefariki Kujifungua!, Hii Hutokea Baada ya Mwili Kuanza Kuharibika (Ku-Decompose) hivyo Gesi Iliyopo Katika Mfuko wa Uzazi Huanza Kumsukuma Mtoto Nje Japo nae Hua Kafariki pia.

Kwa Kawaida Miaka ya sasa Ikitokea Hali hii ya Mama Kufariki Akiwa Mjamzito, Hufanyiwa Upasuaji na Mama na Mtoto Kuzikwa Tofautitofauti lakini Miaka ya Nyuma Ilikua Mama anazikwa na Kiumbe Chake Tumboni Hivyo Baada ya Muda Coffin Birth Hutokea na Mtoto Kutoka Kwa Njia ya Uke.View attachment 1061728

Sent using Jamii Forums mobile app
Nini maana ya kufariki?
 
kuna wakati moyo huwa unasimama ila ubongo unakuwa bado active, wakipima moyo wanajua usha kata kamba rejea kesi ya mcheza mpira muambab(moyo ulisimama siku 3) kwetu angesha zikwa siku nyingi
 
Back
Top Bottom