Kituo cha TV cha Diamond Platnumz

Kituo cha TV cha Diamond Platnumz

topr

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
700
Reaction score
654
Jamani nawauliza mashabiki wa Dimond kituo chake cha TV kimeishia wapi maana alitangaza atakizindua tarehe 1/5/15 mpaka leo natafuta channel ya kituo sipat or kisubusi changu kinanidanganya.
 
Hili neno Tv Station limepoteza maana kabisa. Labda aina ya Tv kama Global Tv, Michuzi Tv na nyingi za aina hiyo. Mtu anapiga video clips kadhaa tayari inaitwa Tv.
 
wewe mwenzio alimaanisha vitu viwili..

1. Reality TV SHOW

2: All white party online TV via Code..

upo hapo? haya futa uzi fasta
 
Jamani nawauliza mashabiki wa domo kituo chake cha TV kimeishia WAP maana alitangaza atakizindua tarehe 1/5/15 mpaka leo natafuta channel ya kituo sipat or kisubusi changu chanidanganya????????

unatumia king'amuzi gani?
 
Lukelo sakafu, nifah, Ngeda na topr, tumsaidie Kiba asinyonywe, makelele ya humu hayamsaidii kijana huyu. Ananyonywa sana.
 
Hahahahahaaa you made my day for sure! Hapa hutamuona hata mmoja, ila ungeweka kuhusu Kiba tu ungekoma!

Unajua nn me nilijua izi ni mbwembe tu maana namjua domo kila anachofanya anatakaga dunia ijue gafla tu aseme anazindua?????
Wakati kwa tabia yake kuanzia siku ananunua kamera angeanza kutangaza.
 
Jamani nawauliza mashabiki wa domo kituo chake cha TV kimeishia WAP maana alitangaza atakizindua tarehe 1/5/15 mpaka leo natafuta channel ya kituo sipat or kisubusi changu chanidanganya????????[/QUOTE
Dogo amekua na mambo ya kike sana siku hizi
 
Haya tuchukulie mpango wake umefail, haya fanyeni na party kabisa ya kujipongeza kusherehekea kufail kwa mpango wa Daimond kuzindua Tv yake mwezi may!

Maana wabongo ndo tulivyo, huwa tunafurahi mtu mipango yake ya maendeleo ikibuma. Yaani watu hadi mnagonga cheers kujipongeza mpango wa maendeleo wa mtu ukifail ha haa haaa aisee noma kweli kweli!
 
tutakizundua tu hicho kitu sema mambo hayajakamilika kidoooogooo yameingiliana
 
Jamani nawauliza mashabiki wa domo kituo chake cha TV kimeishia WAP maana alitangaza atakizindua tarehe 1/5/15 mpaka leo natafuta channel ya kituo sipat or kisubusi changu chanidanganya????????

kumbuka na kumpgia kula kiba amchelewi kusema ktma wamechakachua
 
wewe mwenzio alimaanisha vitu viwili..

1. Reality TV SHOW

2: All white party online TV via Code..

upo hapo? haya futa uzi fasta

Leo jamani mnakana hivihivi?...mlisema ni kituo cha television bana! Tena mlikipromote kwa mbwembwe nyingi kweli, mambo yamebuma...haya tusubirini na hiyo private jet ya dola mil 20
 
Back
Top Bottom