The voice UK: Jennifer Hudson is a beast

She killed it! BTW Hudson hajawahi kuniangusha, she did me a favor in the "IF THIS ISN'T LOVE"
Spot light na ile movie ya dream girls akiwa na Beyonce na Eddie Murphy nilikuwa na nyimbo zake ktk Nokia express music yangu for about 2 yrs bila kudelete hata moja. Hapa niliona kipaji kilichokosa kubebwa. This was Adele and Houston to me

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Huyu mwanadada ni moto wa kuotea mbali sanaaa, kaimba wimbo mgumu sana!


CC: GreenCity , titimunda
Nilipata nafasi ya kufananisha vocals ktk wimbo unaitwa And Iam telling you...nikapitia na watu wanachosema aisee huyu mtu in hatari. Ktk vote za mitandaoni;

1. Jenipher Holiday
2.Jenipher Hudson
3. Somebody Arley
4. Kuna kiumbe kinaitwa Sara Ikumu

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Nilipata nafasi ya kufananisha vocals ktk wimbo unaitwa And Iam telling you...nikapitia na watu wanachosema aisee huyu mtu in hatari. Ktk vote za mitandaoni;
1. Jenipher Holiday
2.Jenipher Hudson
3. Somebody Arley
4. Kuna kiumbe kinaitwa Sara Ikumu
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Sara Ikumu, well that's an alien.
😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom