RIP NIPSEY HUSSLE...THE GREATEST HUSTLE TO EVER MADE IT

cmoney

JF-Expert Member
Oct 14, 2011
3,469
2,000
Nipsey Hussle has died after being shot multiple times outside of his retail store, Marathon Clothing, in Los Angeles on Sunday (March 31), according to NBC News.
Law enforcement sources report Nipsey died after being shot earlier this evening. He was 33 years old and is survived by a daughter, Emani, and a son, Kross, the latter whose mother is actor Lauren London.
Law enforcement sources tell TMZ that three people were shot at the store, which Nipsey operated after opening in 2017. The suspect is thought to be a Black male in his 20s, and sources say the man came up to Nipsey and others on foot and fired multiple shots before fleeing in a vehicle driven by a woman. Two other victims remain in serious condition, NBC reports.
Before the shooting, Nipsey tweeted a mysterious message on his Twitter account that reads, “Having strong enemies is a blessing.”
In the aftermath of Nipsey's death, artists from all corners of hip-hop have paid their respect to the rapper, who left his mark in the game with street-savvy lyrics and ambitious anthems for street dwellers with aspirations of being more. One of the first to pay their respects was Meek Mill.
 
Attachments

  • sddefault.jpg
    File size
    21.4 KB
    Views
    56

clixus

JF-Expert Member
Dec 4, 2016
757
500
Mkuu nimepata info zaidi leo alipoagwa kwamba Eric holder muuaji alikuwa ametoka jela so akawa ana ngoma anataka support ya nip so Siku ile ya tukio nip alikuwa na mshikaj wake family friend katoka jela akampeleka dukan kwake afanye shopping ya nguo na viatu then wasepe huyo rafiki yake aende meet na familia take

Basi muuaji Eric holder alifika pale na wakawa wanaongea na nip kwamba anaomba ampush kweny kazi zake lakini nip alikataa kwa sababu Eric ni snitch na ana mafail mabovu kitaa kwa matendo yake so ukichek na ile chuki ya mda mref mchizi muuaji akacool then akanunua burger akasepa

Baada ya dakika ishirini Eric si ndo anarudi hapo nip anajiandaa asepe lakini nip kwa kawaida huwa anakuwa na security hiyo day ilikuwa chap tu emergency ya haraka, ndo ilimpa nafasi muuaji kufanya tukio
Duuu. Shida ilikua ni nini hasa.
 
Killmonger

JF-Expert Member
Jan 11, 2015
1,994

Duuu. Chuki ya ajabu kabisa. Asante mkuu kwa taarifa.
 
minji

JF-Expert Member
Sep 2, 2016
2,532

Kumbe muuaji ni alikuwa mshikaj wake daah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
minji

JF-Expert Member
Sep 2, 2016
2,532
2,000
Nipsey Hussle has died after being shot multiple times outside of his retail store, Marathon Clothing, in Los Angeles on Sunday (March 31), according to NBC News.
Law enforcement sources report Nipsey died after being shot earlier this evening. He was 33 years old and is survived by a daughter, Emani, and a son, Kross, the latter whose mother is actor Lauren London.
Law enforcement sources tell TMZ that three people were shot at the store, which Nipsey operated after opening in 2017. The suspect is thought to be a Black male in his 20s, and sources say the man came up to Nipsey and others on foot and fired multiple shots before fleeing in a vehicle driven by a woman. Two other victims remain in serious condition, NBC reports.
Before the shooting, Nipsey tweeted a mysterious message on his Twitter account that reads, “Having strong enemies is a blessing.”
In the aftermath of Nipsey's death, artists from all corners of hip-hop have paid their respect to the rapper, who left his mark in the game with street-savvy lyrics and ambitious anthems for street dwellers with aspirations of being more. One of the first to pay their respects was Meek Mill.
Nilitaman sana kujua ulichoandika ila rasi simba sikumtilia maanani nitasoma coment

Sent using Jamii Forums mobile app
 
cmoney

JF-Expert Member
Oct 14, 2011
3,469
2,000
Rip nip
Mkuu nimepata info zaidi leo alipoagwa kwamba Eric holder muuaji alikuwa ametoka jela so akawa ana ngoma anataka support ya nip so Siku ile ya tukio nip alikuwa na mshikaj wake family friend katoka jela akampeleka dukan kwake afanye shopping ya nguo na viatu then wasepe huyo rafiki yake aende meet na familia take

Basi muuaji Eric holder alifika pale na wakawa wanaongea na nip kwamba anaomba ampush kweny kazi zake lakini nip alikataa kwa sababu Eric ni snitch na ana mafail mabovu kitaa kwa matendo yake so ukichek na ile chuki ya mda mref mchizi muuaji akacool then akanunua burger akasepa

Baada ya dakika ishirini Eric si ndo anarudi hapo nip anajiandaa asepe lakini nip kwa kawaida huwa anakuwa na security hiyo day ilikuwa chap tu emergency ya haraka, ndo ilimpa nafasi muuaji kufanya tukio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom