Vitalis Msungwite
JF-Expert Member
- May 11, 2014
- 3,318
- 7,982
Huyu jamaa niliwahi kuona clip zake akiwa kwenye harusi, na sherehe nyingine mbalimbali. Anajitahidi sana kuiga Yale ayafanyayo Mheshimiwa Rais. Mara zote huwa na huyo mlinzi wake, wapo vizuri sana
Barafu la moto
Barafu la moto