Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Rejea kichwa cha habari...kama una MUVI kali za kuanzia mwaka 2018 mwezi wa sita(June ) hadi mwaka huu 2019 mwezi huu nahitaji kwa haraka. Unaniwekea kwenye flash ..nahitaji nyingi ..tutaelewana...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wakuu!! Mwenye wimbo mpya Diamond Platnumz na Fally Ipupa unaitwa Inama Audio. Ebu share nasi.
0 Reactions
53 Replies
12K Views
Hii movie nilikuaga naiskia tu kuwa kali ila sikuwahi kuicheki... jioni hii baada ya kuwa dissapointed na muendelezo wa into the badlands nikaona ngoja niisake hii private ryan... Daah ni noma...
2 Reactions
26 Replies
4K Views
Weekend sasa ni muda wa kupunguza stress taja kiwanja kikali wana Jf wa kujoin! Nianze na mimi next door music na totoz naweka shida chini! Taja na wewe ulipo karibuni jf
1 Reactions
21 Replies
9K Views
Nikweli kuwa Zuku Tv wamerudisha channel za ndani?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
By the way ukitaka uone Episode 03 Zima taa na angalia gizani unless otherwise utaona reflection yako, The Long Night was Sooo Dark utafikiri wanatumia Camera za Kwenye Tecno.... !!!!! Hii show...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Watanzania wenzangu naombeni ushauri wenu, hapa nilipo nimevurugwa vibaya sana kwa sasa kila ninalojaribu kufanya kwangu naliona kama halina tija tena kwangu. Hali hii imenijia baada ya kugundua...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Tupia kioja chako hapa cha watu wamwakareli Wanyakyusa wamekua habari nyingine Wawapokea kijiti wasukuma
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ila surely ushindani kati ya wahaya na wachagga hautakuja kuisha. Wote wanalima ndizi,kahawa na juzi wamepata msiba mzito na wachagga wamejibu mapigo tena kwenye sekta hiyohiyo ya Habari. Wahaya...
6 Reactions
38 Replies
5K Views
Kwa wale wapenzi wa miziki. Kuna online radio wanacheza miziki balaa. www.colorsconnectradio.com hata huhitaji kuwa na miziki kwenye simu yako hiyo radio ni tosha. Hamna hata matangazo. Ni miziki tu.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Tomino’s Hell ni Shairi Ambalo Unaambiwa Hutakiwi Kusoma Kwa Sauti!, Soma Kimya Kimya na inaelezwa Ukisoma Kwa Sauti Shairi hili Kuna Mawili, Either Utakufa au Utapambana na Mauzauza Katika Maisha...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Ufukwe huu wa Bahari wa "Dumas Beach" Wenye Ukubwa wa KM.2 Upo Katika Bahari ya Arab (Arabian Sea) Nchini India KM.21 Kusini Mashatiki mwa Mji wa Surat Magharibi mwa INDIA. Beach hii Imekua...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu Kulikuwa na habari kuwa ukiwa na smart tv unaweza kuangalia channes kadhaa hasa za ndani bure kabisa kwa kutumia antena ya kawaida. Kwa sasa nina smart tv ya sony bravia na hali ipo hivi:-...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Nilikuwa napekua pekua youtube kutafuta wimbo wa kunituliza baada ya Kazi na uchovu wa siku. Sasa sisi wenye familia, hasa tunaowajali watoto wetu, kazi tunayo maana huko kwenye Tv zetu huko...
0 Reactions
0 Replies
903 Views
Love Stori: Muhanga wa mapenzi Sehemu: 01 Mtunzi: Ally Mbetu SIMU: 0713646500 Athumani alijikuta akiwa njia panda asijue aelekee upande gani, ilikuwa ni baada ya kumsindikiza rafiki...
2 Reactions
19 Replies
10K Views
Niwe muwazi kabisa kuwa channel zetu zinatia aibu. Yaani zinashindwa kabisa hata na hizi channel mpya na ndogo kwa QUALITY. Unatazma taarifa ya habari picha za hovyo, sound za hovyo, lakini...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu salama? Kwa wale wapenzi wa live band watakuwa wameshanisoma. Ukienda kwenye show za Nyoshi na bendi yake mpya utagundua kuwa jamaa yuko serious sana na kazi. Anahakikisha vifaa vinafungwa...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
leo nimesikiliza nyimbo ya young killer ft banana zoro --badilika. Nimetokea kuipenda sauti ya banana zoro. Dah huyu mchizi anasauti si mchezo nashangaaa sikumjua siku zote hizo. So ilikua...
0 Reactions
29 Replies
15K Views
Kwakweli mimi kama mpenzi wa Muziki na siyo ushabiki maandazi kwa vijana wa Kitanzania hakuna mwanamuziki zaidi ya Banana Zoro huyu ni super vocalist. Wadau wa muziki tujurishane huyu kijana yuko...
17 Reactions
152 Replies
20K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…