Niko radhi my first
Ngoja ngoja my second
Bado kidogo my third
Nzela my fourth
Niko radhi my first
Ngoja ngoja my second
Bado kidogo my third
Nzela my fourth
Hiyo ngoja ngoja ndo ya aje mkuu?
Mkuu labda nimekosea jina ile ni ule wimbo ambao video yake kuna cheche wa siri ya mtungi kaigiza kama zoba nadhani hautwi ngoja ngoja unaitwa subira yangu

Ngoma inaitwa Ngoja Kidogo! Burdan zote twazipata east 24 evere Friday..huku vasmo pale Ismail huku nuruely wapiiii A2theD bongeee ha ha
Dogo ana sauti ya dhahabu ukimsikiliza kwenye mama yangu,mapenzi gani au ile ya B Luv M anakudanganya jamaa ni shidddaaaaaaa.