Mwenye MUVI kali unahitajika

Mwenye MUVI kali unahitajika

Airmanula

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
3,524
Reaction score
5,785
Rejea kichwa cha habari...kama una MUVI kali za kuanzia mwaka 2018 mwezi wa sita(June ) hadi mwaka huu 2019 mwezi huu nahitaji kwa haraka.

Unaniwekea kwenye flash ..nahitaji nyingi ..tutaelewana bei.

Movie ziwe kwenye ubora wa Hali ya juu ..namanisha HD KUANZIA 720p au 1080p.

Location: Arusha
 
Nipo Dsm...ninazo njoo PM tuyajenge
 
Back
Top Bottom