Mbochong'a
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 771
- 1,321
Wakuu salama? Kwa wale wapenzi wa live band watakuwa wameshanisoma. Ukienda kwenye show za Nyoshi na bendi yake mpya utagundua kuwa jamaa yuko serious sana na kazi. Anahakikisha vifaa vinafungwa na kufanyiwa majaribio kwa wakati. Show ikianza zinapigwa nyimbo mbili za kukopi na za kitambo then mshikaji anapanda stejini mwanzo mwisho.
Tofauti na CP academia ya Patcho, kwanza wanaleta u-fadher mwingi sana. Show inaanza saa mbili wale wasanii wakubwa wenye majina ambao ndio wanafanya watu waje kwenye show wanapanda stejni saa tano usiku. Hii inapelekea watu kuchoka na kuondoka. Pia wanachelewa sana kuanza show kwa sababu wanachukuwa muda mwingi sana kwenye kufanya majaribio ya vyombo vya music.
Ushauri: Katika bendi yoyote kuna mtu au watu ambao wana majina na ndio kivutio cha mashabiki wengi, wanatakiwa kuhakikisha hawaleti u-boss kazini wapande kwenye stage mapema wapige kazi. Sio ukishapiga wimbo mmoja unashuka unaenda kunywa pombe.
Pia maandalizi yafanywe mapema sio karibia na show kuanza mnaanza kutest vifaa, hii inakuwa inaboa. Fanyeni kazi ili watu waone kweli mpo serious na mnatafuta pesa. msifanye kwa mazoea.