Free channels (channels za bure) kwenye smart tv

Njaa

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2009
Posts
1,022
Reaction score
412
Wakuu
Kulikuwa na habari kuwa ukiwa na smart tv unaweza kuangalia channes kadhaa hasa za ndani bure kabisa kwa kutumia antena ya kawaida. Kwa sasa nina smart tv ya sony bravia na hali ipo hivi:-

Nimesearch digital tv na kufanikiwa kuziona channels zote za startime, lakini inayofanya kazi ni ile ya matangazo tu, zingine zinagoma kufunguka. Hata tbc ambayo ni FTA inagoma.

Nifanyeje? mwenye uelewa wa suala hili please...

Tafuta mafundi wa madishi.
Ni kweli utaona ni free!
Mi Kuna dogo alikua anapita anawasetia watu bahati mbaya Sina smart!
Pia hii thread ipeleke jukwaa la tech
 
Wakuu
Kulikuwa na habari kuwa ukiwa na smart tv unaweza kuangalia channes kadhaa hasa za ndani bure kabisa kwa kutumia antena ya kawaida. Kwa sasa nina smart tv ya sony bravia na hali ipo hivi:-

Nimesearch digital tv na kufanikiwa kuziona channels zote za startime, lakini inayofanya kazi ni ile ya matangazo tu, zingine zinagoma kufunguka. Hata tbc ambayo ni FTA inagoma.

Nifanyeje? mwenye uelewa wa suala hili please...

Njaa
Upo mkoa Gani? ? Dar zipo search vzr na ufunge antenna yako vzr
 
Back
Top Bottom